Kampuni ya ndege flightlink hakika inaenda kuuwa soko la Air Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hawa jamaa kutokea dsm to arusha ni USD 52 tu na hamna mbambamba na wanandege kubwa kabisa.

IMG_9872.png
IMG_9872.png
IMG_9873.jpeg
IMG_9874.jpeg
 
Wako vizuri nilikua naitumia sana kwa Zenji kule .

Kama wamekuja home kabisa basi sawa.

Sasa kwenda nyumbani inakua sio anasa.
 
Hawa jamaa kutokea dsm to arusha ni usd 52 tu na hamna mbambamba
Na wanandege kubwa kabisaView attachment 2582143View attachment 2582143View attachment 2582144View attachment 2582145
Wewe sio mpanda ndege wa mda mrefu, hiyo bei haidumu, hao jamaa ni expensive sana tu kama wengine.

Hakuna airline yeyoye inayobena less than 20 people ikubebe toka Dar to Ars kila wakati kwa bei hiyo?

Watashindwa hata kulipa airport parking leave alone masaa ya pilot, fuel na maintenance.
 
... mlishaambiwa muwe mna-quote kwa TZS; sijui kwanini hili somo linakuwa gumu.
Tsh 125,000
Wewe sio mpanda ndege wa mda mrefu, hiyo bei haidumu, hao jamaa ni expensive sana tu kama wengine.

Hakuna airline yeyoye inayobena less than 20 people ikubebe toka Dar to Ars kila wakati kwa bei hiyo?

Watashindwa hata kulipa airport parking leave alone masaa ya pilot, fuel na maintenance.
bro kwa hii kampuni mara ya 5 now nakata zamani nlikuwa nakata kwa office yao ama namba yao ya whatsapp ikawa ni 150k ama 170k oneway from dsm ila ukikata online inakuwa cheap zaidi
 
Wewe sio mpanda ndege wa mda mrefu, hiyo bei haidumu, hao jamaa ni expensive sana tu kama wengine.

Hakuna airline yeyoye inayobena less than 20 people ikubebe toka Dar to Ars kila wakati kwa bei hiyo?

Watashindwa hata kulipa airport parking leave alone masaa ya pilot, fuel na maintenance.
Chek auric
IMG_9875.png
 
OK sawa wapanda ndege wale wengine walifukuzwa mbona walikua cheap sana na wengi walipanda ndege kupitia wao wangebaki biashara ingekua sana Tanzania sema ndio hivyo tena...kushuka au kupanda kwa fair inategemeana na season kama season high bei inakua kubwa low inapungua ndio wanavyofanya kipindi hiki karibu mashirika mengi yamepunguza bei hata safari za Nje...
 
Jamaa bei zao ni rafiki muda
IMG_9877.jpeg
 
Hiyo ni taarifa ya mwaka 2021. Nipe ya mwaka huu.
Kumbukeni this is low season Kwa hiyo wanashusha bei then high season bei inapanda.
Hata kwenda Kwa watu bei inapanda na kushuka low season na high season.
 
Back
Top Bottom