Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

Sio kazi boss,...tafuta hela ya kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa miaka mitatu..,halafu uwe tayari kupata hasara ya miaka miwili...na uwe na market penetration strategy..na bei yako iwe chini ya fast jet..ndege watakukodisha tu hakuna shida...hapo kwenye pricing, na mbinu ya kuingilia sokoni ndiko kunakozuia kila mtu asifanye biashara, sio tu ya ndege, bali nyingine nyingi...

Hivi kwanini makampuni mengi ya ndege yanakodisha?
kwanini yasinunue ndege zao??

kama hapo juu kwa precision air mmesema kuwa moja ya tatizo lililopelekea kupata hasara ni kuongezeka kwa gharama za ukodishaji...

je inawezekana kuondoa gharama za kukodisha kwa kununua ndege mpya
ni bora uwe na ndege moja ya kwako kuliko uwe na ndege tatu za kukodisha
angalau utakuwa una long term asset
au mnasemaje??
 
hivi ni kazi sana mtu kuanzisha kampuni ya ndege iwapo ukitafuta wafadhili nchi za nje??
Nitajitoa mhanga mimi kwa kujairibu
hebu mwenye idea yeyote tulizungumze hili
wataalamu ninawasubiri
Mkuu,
Kuanzisha kampuni ya ndege ukipata mfadhili wala siyo shida!....ukiwa na senti za kutosha vibali vyote utavipata bila delays.
Ishu kubwa hapa i kusustain ndege operations!...hapo ndio eneo ambalo hakuna rangi utaacha kuiona!
Kusustain ndege kwenye operations inahitaji Menejimenti yenye akili na mikakati ya aina yake. Can you imagine PW pamoja na kuitisha hisa kwa Public na kupata mtaji bado wameshindwa kuiweka kampuni kwenye mstari!...aina ya watendaji wakuu wa mashirika ya ndege ndiyo wanaoyamaliza mashirika kwa poor decision making!
Ndege haitaki blah blah wala uswahili, inataka ufuate utaalamu wake tu, vinginevyo wewe na ndege mnakufa ndani ya muda mfupi!
 
Tatizo linaanza kwa waajiri right??
kuna haja ya kuajiri wazungu au waarabu kuja kutuendeshea management ya ndege zetu??
kwani waafrika wenzetu wanaonekana kuwa hawawezi
 
Back
Top Bottom