Real Estate Projects
Member
- Sep 6, 2013
- 15
- 1
Sio kazi boss,...tafuta hela ya kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa miaka mitatu..,halafu uwe tayari kupata hasara ya miaka miwili...na uwe na market penetration strategy..na bei yako iwe chini ya fast jet..ndege watakukodisha tu hakuna shida...hapo kwenye pricing, na mbinu ya kuingilia sokoni ndiko kunakozuia kila mtu asifanye biashara, sio tu ya ndege, bali nyingine nyingi...
Hivi kwanini makampuni mengi ya ndege yanakodisha?
kwanini yasinunue ndege zao??
kama hapo juu kwa precision air mmesema kuwa moja ya tatizo lililopelekea kupata hasara ni kuongezeka kwa gharama za ukodishaji...
je inawezekana kuondoa gharama za kukodisha kwa kununua ndege mpya
ni bora uwe na ndege moja ya kwako kuliko uwe na ndege tatu za kukodisha
angalau utakuwa una long term asset
au mnasemaje??