Kampuni ya Open AI imetangaza kuwa aliyekuwa CEO Sam Altman amekubali kurudi kazini

Kampuni ya Open AI imetangaza kuwa aliyekuwa CEO Sam Altman amekubali kurudi kazini

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman
Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita.

Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo zaidi ya wafanyakazi 500+ kudaiwa kutaka kuondoka na kuleta mtafaruko mkubwa.

Baada ya maongezi kati ya Kampuni hiyo ya Open AI na bwana Sam Altman, Kampuni hiyo imesema bwana Sam Altman amekubaki kurudi kuiongoza Kampuni hiyo ya Open AI.

“We have reached an agreement in principle for Sam Altman to return to OpenAI as CEO with a new initial board,” the company said, adding that the board will be chaired by Bret Taylor, a former co-CEO of Salesforce. Former Treasury Secretary Larry Summers will also join the board, alongside existing director, Quora CEO Adam D’Angelo.

“We are collaborating to figure out the details,” it said.
 
Back
Top Bottom