Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda.
Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki?
Kuna mwingine yoyote ame-note huo utofauti?
Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki?
Kuna mwingine yoyote ame-note huo utofauti?