Kampuni ya PEPSI, wamebadili container za sada ya take away?

Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda.

Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki?

Kuna mwingine yoyote ame-note huo utofauti?
peps wamechajachua vinywaji vyao hata baadhi ya soda zao kama mirinda nyeusi ya take away imekuwa adimu sasa ivh kuna mountaind dew na mirinda orange kwa wingi. Kwa iyo kampun yao inatia shaka kwa watumiaji wengi kwa sasa.
 
Jiandae baada ya miaka isiyozidi kumi Ini litakuwa na mtundu kama chujio la togwa. Mora akupe hitaji la moyo wako.
Maisha ni leo, hiyo miaka kumi ijayo inawezekana wote tusifike
 
Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda.

Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki?

Kuna mwingine yoyote ame-note huo utofauti?
Swali lako elekeza kwa walokole na misikitini, humu itakuchukua mwaka kupata jibu.
 
peps wamechajachua vinywaji vyao hata baadhi ya soda zao kama mirinda nyeusi ya take away imekuwa adimu sasa ivh kuna mountaind dew na mirinda orange kwa wingi. Kwa iyo kampun yao inatia shaka kwa watumiaji wengi kwa sasa.
Mi naona walichofanya ni kuwapa viwanda vidogo kama vya mikoani kutengeneza bidhaa zao. Nimekunywa kama bidhaa zao mbili naona ujinga ujinga tu.
Pia, nahisi kuna wajanja wapo kati. Siyo pespsi hata sprite kuna ujinga flani hivi mikoani. Pia, kumbuka mikoani vinywaji biki expire hawatupi wanauza hivyo hivyo ni jukumu lako kujua.
 
ulichosema ni kweli
 
Back
Top Bottom