Kampuni ya PEPSI, wamebadili container za sada ya take away?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda.

Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki?

Kuna mwingine yoyote ame-note huo utofauti?
 
Mnaendekeza na kupenda mambo ya anasa anasa tu kama unywaji wa soda. Mna weledi wa kugundua gundua mambo ya ajabu badala mngekuwa na weledi huo kwenye mazao ya kilimo huko shambani.
 
Picha weka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…