Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

Pale unapokuwa na idea zilizotawaliwa na hisia ni rahisi sana kushindwa kwani unakuwa unaishi kwenye yenye kufikirika kinyume na uhalisia.

WaSumuka gang mna shida. Mzee na ideas/itikadi zake zimeshafeli na zilizomfelisha ni hizo ideas mfu.
Ideas gani hizo? Mi si nimeleta habari njema tu, au ulitaka wapate hasara ndio ufurahi?
 
Nakumbuka enzi zile walivyozusha popobawa, walioiga sana mounga kuuza dawa za kuzuia popobawa asikuingilie, watu walikuwa wanalala nje na jinsi 3 , yaani mass hysteria ni kitu kibaya sana 😂😂😂😅
We jamaa umenikumbusha kipindi hicho nilikuwa field Bagamoyo hakika ilikuwa patashika kuna jamaa alirushiwa chungwa akiwa kalala likatua kwenye tako yule ndugu alihisi popobawa aliruka juu kutoka usingizini huku akipiga kelele kuwa kama hiyo ni bichwa je miili yake ipoje?
 
Ni mwendo wa kupanikishana tu 😂
 
Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake.

Source : BBC news

Pfizer inatengenezwa nchi gani?
 
Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake.

Source : BBC news
Ladies and Gentlemen....now you know why this tiny virus was invented in the first place....
 
Yeah, ukizingatia chanjo hazitoshi ila bado wanawanunulia, upendo wa ajabu sana, waendelee na moyo huo huo wa kuwapenda wa Afrika

Ajabu ni kuwa kuna wabongo wanalazimisha kuchukiwa ili waonekane wa maana:

IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Back
Top Bottom