Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

hahah yaani TRL wanavikataa wakati vina bonge la maandishi linalosomeka TRL,,ni kama kukutwa na kitambulisho chenye picha yako na jina lako af unaamua kubisha kiwa sio kitambulisho chako
 
Anachokihitaji Pombe atakaporudi ofisini ni kwa mmiliki wa vichwa hivyo kujulikana...la sivyo kuna mtu ataingia matatani.
 
Aliyetuloga huenda yupo hai, mtu unaweza je kukana mali yako mwenyewe? Ila kibongo bongo kila kitu kinawezekana
 

Kwa nini Sirro asikamate hawa watu wakaisaidie police ''wakiwa kureee ndani''? Yaani vichwa vikubwa hivyo vinapotea njia na kuibukia Darisalama kweli? ama kweli maajabu hayatokaa yaishe Nchi hii.
 
ni vya kwangu..
nataka nivitumie kwa trip za dar kibiti..
serikali ya ccm punguzeni uzushi...
mnakana vinyesi vyenu ili tuwaone wasafi ?
binafsi 2020 kura yangu hamuwezi kuipata..
labda muendelee na bao la mkono.
 
Kwa hiyo kama havina mwenyewe maana yake nini?Nchi hii ni janga la dunia
 
Vichwa vinavyoonyeshwa hapa vililetwa mitatu iliyopita na vinafanya kazi,
Kama huna picha basi wote tumesikia sio lazima tuone ili tuamini
 
acha wee, haki ya nani wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…