Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Hii Ni baada ya kuingia mkenge. Namna ya kuikwepo tuhumaa za kununua vitu vibovu.
 
Tutaandamana Kumpongeza Rais Dr John Joseph Pombe Magufuli
 
Vichwa vimeshapokelewa bado? wangali wanavikana? Inawezekana ni vya DRC Congo!!! Sisi hatuna shida na vichwa vya treni maana vilivyopo vinatutosha, kwa safari zetu za Dar Dodoma.
 
Nahisi walinunua mtumba kwa bei ya mpya sasa wameona wameliwa wanavikana
 
Back
Top Bottom