Haaaaaaaaaa hii mambo ni shigda aisee Mm kuna staff mwenzetu alikuwa ka mwehu yaani anakushawishi mpk kero,mpk anakukopesha na mtaji loohIvi kuna watu bado wanapigwa, **** mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
Namaingo sio network businessmimi naisubiria namaingo 😀😀😀😀
kuna jamaa tuko naye group moja basi kila kukicha ilikua ni habari ya rifaro saizi ukimuuliza kimya sijui kwann watu hawajifunzi.Ivi kuna watu bado wanapigwa, **** mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
Kuna dada alinishawishi sana kuniunga forever, bei zake sasa dawa moja niliulizia inauzwa elfu 75,watu wameacha bidhaa nyumbni ni kichaa tu anafikiria kuuza. dawa ya meno ya elfu 30 eneo kama mbagala
bado wanataka pesa za wadau za viingilioWamefungua kampuni mpya hii hapa Changamkia fursa ya helping hands international H2i
Yaani wanakuwa wehu naona wanakuwa wameshagundua kuwa washapigwa kwa hiyo wanajitahidi warudishe hata pesa yao ya kiingilio tuu, mi nikaona nimpe tusi zito ili asinisumbue maana ilikuwa kero mpaka naulizwa huyo anaekupigia simu kila muda anakudai nini.Haaaaaaaaaa hii mambo ni shigda aisee Mm kuna staff mwenzetu alikuwa ka mwehu yaani anakushawishi mpk kero,mpk anakukopesha na mtaji looh