Kampuni ya rifaro imekufa

Kampuni ya rifaro imekufa

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,430
Reaction score
3,547
kuna jamaa yangu alinishauri sana nijiunge na kampuni ya rifaro kipindi inaanza, leo nimemuuliza kafikia wapi ananiambia kampuni imekufa natumia fursa hii kumpa pole yeye na wale wote waliojiunga na hii deci pia kama angalizo ukiona kampuni yoyote ya network marketing ujue ni utapeli tu wanachogeuza ni bidhaa na mbinu ila rengo ni lilelile kuuza watu biashara ikiwa satured vizazi haviongezeki wanaingia mitini.
 
Ivi kuna watu bado wanapigwa, kuna mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
 
Ivi kuna watu bado wanapigwa, **** mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
Haaaaaaaaaa hii mambo ni shigda aisee Mm kuna staff mwenzetu alikuwa ka mwehu yaani anakushawishi mpk kero,mpk anakukopesha na mtaji looh
 
kuna jamaa tuko naye group moja basi kila kukicha ilikua ni habari ya rifaro saizi ukimuuliza kimya sijui kwann watu hawajifunzi.
 
Hawa Jamaa Na kina Forever Sijui ndo Mbinu zishaisha watu washashtuka Hawatumii Bidhaa zao tena....
 
watu wameacha bidhaa nyumbni ni kichaa tu anafikiria kuuza. dawa ya meno ya elfu 30 eneo kama mbagala
Kuna dada alinishawishi sana kuniunga forever, bei zake sasa dawa moja niliulizia inauzwa elfu 75,
 
Haaaaaaaaaa hii mambo ni shigda aisee Mm kuna staff mwenzetu alikuwa ka mwehu yaani anakushawishi mpk kero,mpk anakukopesha na mtaji looh
Yaani wanakuwa wehu naona wanakuwa wameshagundua kuwa washapigwa kwa hiyo wanajitahidi warudishe hata pesa yao ya kiingilio tuu, mi nikaona nimpe tusi zito ili asinisumbue maana ilikuwa kero mpaka naulizwa huyo anaekupigia simu kila muda anakudai nini.
 
Back
Top Bottom