Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
kampuni ya sports pesa kila siku mnakula pesa za vijana wanaoshinda wakibahatisha michezo mbalimbali, ila nyinyi mkiliwa mnaumia sana...jana nimeweka 50000 kwa mechi ya singida united na jku dakika ya arobaini na nane naona pesa yangu inarudishwa kwangu , wananitumia meseji kuwa mechi imefutwa...najua waliona wameliwa na wengi wakaamua kurudisha pesa za watu ili wasipigwe zaidi.