Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
ukitegeshea vizuri unaweza kupata mara nne zaidiKubet ndio ajira rahisi kupata kwa vijana...
Sasa je???Kubet ndio ajira rahisi kupata kwa vijana...
ndio hivyo wanahisi vijana pesa zao haziwaumiWanataka wawe wanakula wao tu, hawa ni wa kuwakimbia sio bure
Kubet ndio ajira rahisi kupata kwa vijana..
Hii Mbona Chai maana Siku Moja na mechi ID moja meseji ya kwanza na Ya pili Tofauti ni saa moja na dakika kadhaa ila CURRENCY TOFAUTI YA JUU NI KSH na ya chini ni TSH means Meseji ni fabres na haina uhalisiakampuni ya sports pesa kila siku mnakula pesa za vijana wanaoshinda wakibahatisha michezo mbalimbali, ila nyinyi mkiliwa mnaumia sana...jana nimeweka 50000 kwa mechi ya singida united na jku dakika ya arobaini na nane naona pesa yangu inarudishwa kwangu , wananitumia meseji kuwa mechi imefutwa...najua waliona wameliwa na wengi wakaamua kurudisha pesa za watu ili wasipigwe zaidi.View attachment 2721579
nidanganye ili nipate faida ganiHii Mbona Chai maana Siku Moja na mechi ID moja meseji ya kwanza na Ya pili Tofauti ni saa moja na dakika kadhaa ila CURRENCY TOFAUTI YA JUU NI KSH na ya chini ni TSH means Meseji ni fabres na haina uhalisia
Then jibu hoja ya kutofautiana kwa currencies Katika mkeka mmoja na meseji moja huku fedha ya kenya na meseji nyingine pesa ya TZnidanganye ili nipate faida gani
Hamna ajira kwenye kubetiKubet ndio ajira rahisi kupata kwa vijana...
Mbona hukujibiwa??Then jibu hoja ya kutofautiana kwa currencies Katika mkeka mmoja na meseji moja huku fedha ya kenya na meseji nyingine pesa ya TZ
akikujibu niambieHii Mbona Chai maana Siku Moja na mechi ID moja meseji ya kwanza na Ya pili Tofauti ni saa moja na dakika kadhaa ila CURRENCY TOFAUTI YA JUU NI KSH na ya chini ni TSH means Meseji ni fabres na haina uhalisia
Sio kila anayebet anatafuta hela ya kula ile ni addiction pia ambayo unaweza kubet tu lengo ufurahie tu siku hiyo .Nataka mliwe mpaka oblongata ziwakae sawa. Vijana wavivu wavivu tu [emoji38][emoji38][emoji38].
Mnategemea kubet kutawatoa kimaisha