Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

duh 5000 ml 250 c mchezo aise.bora nijipigie zangu konyag pori(gongo)a.k.a kachaso ya elfu tatu nisuzie na bia moja safari baridi nipate stimu. ndo maisha ya vijana tushazoea uzuri wa pombe tunachotafuta n stimu ili twende sawa na wa bia
 
kwahiyo harufu itakuwa ya pombe au utakuwa unapumua nazi na malimao
 
Konyagi Fusion zimekuja katika ladha mbili tofauti ikiwemo Konyagi Fusion ya ladha ya Tangawizi & Limao na Konyagi Fusion yenye Ladha ya Nazi
Hao warembo wenyewe wameonja au wanasimuliwa tu? Hayo macho na nyuso zao siyo za konyagi kabisa
 
Back
Top Bottom