Kampuni ya teknolojia ya nVidia kuwekeza kiwanda kikubwa Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Haka kainchi kanazidi kuneemeka ndio maana Waarabu wamekubali yaishe wanatia Saini mkataba wa Abrahams accord, sasa itabaki makobaz Waafrika na chuki zao walizoaminishwa.
Kubwa lao Iran lilishakalishwa linaugulia tu
----++

Nvidia is actively seeking land to build a massive multibillion-dollar tech campus in Israel’s north, which is expected to provide thousands of jobs in what promises to be a major expansion of the US chip giant’s operations in the country.

The computing juggernaut announced on Sunday that it had issued a so-called request for information (RFI) tender to locate a plot of land spanning 70 to 120 dunams (30 acres) with construction rights to build a campus of 80,000–180,000 square meters. Nvidia is interested in buying land with “high accessibility to main traffic arteries and public transportation” around Zichron Yaakov, Haifa, and the Jezreel Valley areas. The tech titan has hired real estate consulting firm Colliers for the search and has set July 23 as the deadline for submissions.

“It’s a very sizable investment, and to decide to locate it in Israel goes a long way and is a sign of confidence in the Israeli high-tech ecosystem,” Israel Innovation Authority CEO Dror Bin told The Times of Israel. “This declaration is mutually beneficial: Nvidia is enjoying the benefits of the local ecosystem and talent, and the ecosystem will enjoy this big investment of Nvidia because it will help Israel remain at the forefront of innovation and technology, especially in the artificial intelligence space.”
 
Iyo propaganda tu kusema na kutenda ni panya na paka

muimu mutu yote yenye Akili inakimbia apo Israrel tatizo Usalama akuna

atamm ningekimbia kitu kinakuja na sauti kubwa ya radi nakaaje apo!!

Vijana waki Iran wamewin vita !!

taifa teule limekwama Kwenye kuzibuana kinyesi unategemea nn apo Usalama utakuwepo..
 
Attachments

  • VID-20250623-WA0046.mp4
    5.8 MB
  • 6055889-bf7b44b41a1200a1719a851edba5892d.mp4
    6.8 MB
  • 1748590227703.png
    1748590227703.png
    1.1 MB · Views: 30
Ukisoma Quran lazima utaachana na upuuzi unaoitwa Palestines arabs
 
Ukiacha Ulokole na kuabudu Wazungu ndio utaelewa Waisrael ndio msingi wa utumwa Dunian

Palestina wapo kupambana na Mkoloni na wakoloni pande zote za Dunia damu zao zimezikwa pia apo Afrika kusini ktk alakati za kumpambania mtu mweusi

wakati uwo Israel na Marekani zikiungana na Makaburu kuwefeka watu weusi tunakumbuka pia !!

ni Marekani ilimweka Mzee Nelson Mandela kwenye list ya Magaidi kisa kupiganiwa usawa na Utu wa Binadamu ndani ya Afrika kusini !!!

Tutasimama na Palestina Sababu ni wao walisimama na sisi sio Wazungu..
 
Ukiacha Ulokole na kuabudu Wazungu
rudi shule wewe ni moja ya watu wenye ufunyu kwenye brain, kuna mpumbavu na mjinga bora uwe mjinga maana ukieleweshwa utaelewa, ila mpumbavu kamwe.
Familia yako labda ndio inaabudu wazungu not us.

io utaelewa Waisrael ndio msingi wa utumwa Dunian
So Waisrael nchi nzima walikuwa utumwani huko Misri kwa miaka 400 So unataka kutuambia ukiwa mtumwa ndio unakuwa msingi wa hilo tukio? Israel ni victims , nashaka na elimu yako au akili zako hazi functions una akili za kufundishwa au umeathilika na ushabiki.
Palestina wapo kupambana na Mkoloni na wakoloni pande zote za Dunia damu zao zimezikwa pia apo Afrika kusini ktk alakati za kumpambania mtu mweusi
Unadhani ukipingana na jambo fulani lazima upigane umwage damu ndio akili?
Hao hawaitwi palestine ukiwauliza wanajiita Arabs, dunia nzima tunajua Arabs kwao ni arabuni. Hebu tuambie makaburu usiowapenda ukiambiwa south Africa ni kwao unakataa unaonesha hypocrites wako.
Kisa cha waafrica wa South ni same side na story ya Israel wayahudi ni kwao pale na Arabs sio kwao, Israel alikubali kuishi nao Arabs ila wamekuwa wakorofi same na weusi wanaowaua wazungu kila siku.

Tafuta mifano mingine ewe naive person
wakati uwo Israel na Marekani zikiungana na Makaburu kuwefeka watu weusi tunakumbuka pia !!
Utasingizia bila uthibitisho umesoma historia kweli wewe?
ni Marekani ilimweka Mzee Nelson Mandela kwenye list ya Magaidi kisa kupiganiwa usawa na Utu wa Binadamu ndani ya Afrika kusini !!!
Unajua tafsiri ya Gaidi? Back to school kwanza.
Mandela yes he was Terrorist kwani alitumia ngumu na alikuwa kiongozi wa chama ambacho kiliua na kufanya fujo na list yote ya kuwafanya kutambulika Gaidi. Kama kupigania uhuru mbona Nyerere hakuitwa Gaidi? Au unataka kusema wote walitumia njia moja?

Jf wajinga mnatakiwa mkue achaneno na maneno ya propaganda za watu wanaovuruga Dunia kwa uongo wao.
mandela hawezi kuwa Clean kwa mambo aliyoyafanya hata kwa mahakama za sasa.
Tutasimama na Palestina Sababu ni wao walisimama na sisi sio Wazungu..
Arabs wamesimama na Africa ipi? Hao Arabs wa Palestina vita ya Uganda walituma majeshi upande wa uganda kuua Watanzania wakituona ni makafir, walitekwa ili na adhabu yao ilikuwa kufa Nyerere akawasamehe wakarejeshwa walipotoka, Libya aliwasaidia pia Uganda,

Hao Hamas wameua Watanzania wenzenu wawili Mtenda na Joshua na bado wameshikilia mwili wa Joshua for what mother fu.k and u2
 
Iyo propaganda tu kusema na kutenda ni panya na paka

muimu mutu yote yenye Akili inakimbia apo Israrel tatizo Usalama akuna

atamm ningekimbia kitu kinakuja na sauti kubwa ya radi nakaaje apo!!

Vijana waki Iran wamewin vita !!

taifa teule limekwama Kwenye kuzibuana kinyesi unategemea nn apo Usalama utakuwepo..
Achilia mbali israel hata mikataba trump aliyoingia ndo kwisha habari yake amna tajiri atakaenda kuwekeza pale kwa hii hali ya trump na netanyahu isiyotabiriki .. ni uongo wa wazi wazi kudai eti nvidia ataenda kuwekeza pale wamuulize macrosoft au rafael
 
Back
Top Bottom