Ukiacha Ulokole na kuabudu Wazungu
rudi shule wewe ni moja ya watu wenye ufunyu kwenye brain, kuna mpumbavu na mjinga bora uwe mjinga maana ukieleweshwa utaelewa, ila mpumbavu kamwe.
Familia yako labda ndio inaabudu wazungu not us.
io utaelewa Waisrael ndio msingi wa utumwa Dunian
So Waisrael nchi nzima walikuwa utumwani huko Misri kwa miaka 400 So unataka kutuambia ukiwa mtumwa ndio unakuwa msingi wa hilo tukio? Israel ni victims , nashaka na elimu yako au akili zako hazi functions una akili za kufundishwa au umeathilika na ushabiki.
Palestina wapo kupambana na Mkoloni na wakoloni pande zote za Dunia damu zao zimezikwa pia apo Afrika kusini ktk alakati za kumpambania mtu mweusi
Unadhani ukipingana na jambo fulani lazima upigane umwage damu ndio akili?
Hao hawaitwi palestine ukiwauliza wanajiita Arabs, dunia nzima tunajua Arabs kwao ni arabuni. Hebu tuambie makaburu usiowapenda ukiambiwa south Africa ni kwao unakataa unaonesha hypocrites wako.
Kisa cha waafrica wa South ni same side na story ya Israel wayahudi ni kwao pale na Arabs sio kwao, Israel alikubali kuishi nao Arabs ila wamekuwa wakorofi same na weusi wanaowaua wazungu kila siku.
Tafuta mifano mingine ewe naive person
wakati uwo Israel na Marekani zikiungana na Makaburu kuwefeka watu weusi tunakumbuka pia !!
Utasingizia bila uthibitisho umesoma historia kweli wewe?
ni Marekani ilimweka Mzee Nelson Mandela kwenye list ya Magaidi kisa kupiganiwa usawa na Utu wa Binadamu ndani ya Afrika kusini !!!
Unajua tafsiri ya Gaidi? Back to school kwanza.
Mandela yes he was Terrorist kwani alitumia ngumu na alikuwa kiongozi wa chama ambacho kiliua na kufanya fujo na list yote ya kuwafanya kutambulika Gaidi. Kama kupigania uhuru mbona Nyerere hakuitwa Gaidi? Au unataka kusema wote walitumia njia moja?
Jf wajinga mnatakiwa mkue achaneno na maneno ya propaganda za watu wanaovuruga Dunia kwa uongo wao.
mandela hawezi kuwa Clean kwa mambo aliyoyafanya hata kwa mahakama za sasa.
Tutasimama na Palestina Sababu ni wao walisimama na sisi sio Wazungu..
Arabs wamesimama na Africa ipi? Hao Arabs wa Palestina vita ya Uganda walituma majeshi upande wa uganda kuua Watanzania wakituona ni makafir, walitekwa ili na adhabu yao ilikuwa kufa Nyerere akawasamehe wakarejeshwa walipotoka, Libya aliwasaidia pia Uganda,
Hao Hamas wameua Watanzania wenzenu wawili Mtenda na Joshua na bado wameshikilia mwili wa Joshua for what mother fu.k and u2