OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sawa wazee wa batikiSisi mashabiki tunataka kuendelea kuvaa SANDA! Umbro ya nini tena?
Huko KIjijin kwetu mtu mpaka auze kwanza gunia la ufuta ndio anunue hiyo jeziMashabiki wa Simba wangependa kuvaa "puma"
Simba hawajali nani ama brand ipi atatengeneza jezi..wao simba wanajali pesa tu imewekwa billioni ngapi mezani..kumbukeni simba hawafanyi biashara ya jezi ila wanauza tenda yaani mkishasaini mkataba simba analipwa billion 2 kwa msimu anachukua chake mapema..kazi inabaki kwa aliyeshinda tenda akatengeneze jezi,asambaze na auze anavyojua yeye ili arudishe hela yake aliyoipa simba na apate faida kama akizubaa simba haina hasara mzabuni apambane na hali yake..hiyo sijui puma,umbro au adidas simba hawajali mambo ya brand wao wanataka mwenye pesa ndefu.
SISI TUNACHOTAKA TIMU ISHINDE TU....
MENGINE TUNAWAACHIA WENYEWE
Leo kolo anakaaSISI TUNACHOTAKA TIMU ISHINDE TU....
MENGINE TUNAWAACHIA WENYEWE
Kweli wanaacha kuchukua kampuni zinazo tengeneza vifaa vya Michezo Mfano Puma, Kappa, Adidas na Nike wao wanachukua kampuni zinazo tengeneza Madela.Mchukueni umbro awatengenezee jezi za mpira, muache kuvaa sanda