Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Kweli. .mkuuuHiyo B3 ni makadirio ya kawaida, maana Pcs. 100000 unauza kwa mikoa mi 4 tu. Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma. Ongeza Pcs 15000 za mikoa mingine
Ukitoa gharama za uzalishaji hakosi B1 au B1.5 kama faida kumbuka yeye analipa B1 kwa msimu.
Hapo bado kava za simu, kofia, skafu, miwani na makorokoro kama hayo.
Cha mwisho jamaa ana maduka mikoa mingi kwa hiyo ni rahisi kuuz Jezi nyingi zaidi
Sasa si ndio maana ya kuwekeza mkuu, ukiwekeza hela haswa kubwa kama hiyo lazima utegemee faida kubwa kubwa pia chini ya hapo hakuna mtu angekubali kuwekeza 2bn halafu aambulie hasara au faida ya maandaziHiyo B3 ni makadirio ya kawaida, maana Pcs. 100000 unauza kwa mikoa mi 4 tu. Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma. Ongeza Pcs 15000 za mikoa mingine
Ukitoa gharama za uzalishaji hakosi B1 au B1.5 kama faida kumbuka yeye analipa B1 kwa msimu.
Hapo bado kava za simu, kofia, skafu, miwani na makorokoro kama hayo.
Cha mwisho jamaa ana maduka mikoa mingi kwa hiyo ni rahisi kuuz Jezi nyingi zaidi
Ngarama za kutengeneza pluss kodi hazijawekwaJezi Pcs 100,000x 30,000 = BILIONI 3
Hesabu ndogo tuFaida yake itarudije?!
Kuhusu Nani na Nani aliomba tenda fatilia press ya leo utawajua waombaji na Kwa nini vunjabei kashinda yeye, umeuliza lini tenda ilitangazwa, tangazo Hilo mkuu au kuna lingine?Kwanza Hii Tenda Ya kutengeneza Jezi Za Simba Ilitangazwa Lini? Na Ni Kampuni Zipi Ziliomba Hiyo Tenda?
Kwa kuwa unaonyesha hauna taarifa zozote kuhusu tenda ilivyokuwa, inabidi uwe mpole tu ukae kimya. Maana nionacho hapo, kila kitu unaulizaKwamba VB ni bora sana kuliko kampuni zote??? Walishindanishwa na watoa huduma wengine?, au ndio kiushkajia
kibongo bongo utamuuzia nani jezi ya 30k? kikawaida atauza less than 20k kwa kila jeziJezi Pcs 100,000x 30,000 = BILIONI 3
Mkuu Unaonesha ni jinsi gani hununuagi jezi, maana hujui ata bei zakekibongo bongo utamuuzia nani jezi ya 30k? kikawaida atauza less than 20k kwa kila jezi
unajua bei ya jezi za Yanga, Simba na Azama? usikute hujui kitu unakuja kukaza shingo tu humukibongo bongo utamuuzia nani jezi ya 30k? kikawaida atauza less than 20k kwa kila jezi
Duuh!
Fred kimasihara nae anakua bilionea
Huyo mbona ni mtu wa totoz kitambo tu,watoto wa mjini wote wanamtambua.Madada wa mjini wataanza kujisogeza kwa kasi sana kwa mkuu Fred vunja bei
Aisee! Kwakweli Ngoja tuendelee kupambana KamandaBro tupambane na sisi tuwe mabilionea
Kumbe kawatembezea moto sanaHuyo mbona ni mtu wa totoz kitambo tu,watoto wa mjini wote wanamtambua.
Huyo anavaa zile za kuning'inizwa minadani, zile nyepesi.unajua bei ya jezi za Yanga, Simba na Azama? usikute hujui kitu unakuja kukaza shingo tu humu
Duuuh ni noma sanahongera Fred, enzi za Mwendazake ingekuwa vigumu kujitokeza maana kesho tu TRA wangefika kukagua income, expenditure, balance sheet, owners equity, cashflow na notes to financial statements
Yaani mafanikio yanakuwa kosa la jinaihongera Fred, enzi za Mwendazake ingekuwa vigumu kujitokeza maana kesho tu TRA wangefika kukagua income, expenditure, balance sheet, owners equity, cashflow na notes to financial statements
kuwa tajiri au kujinenea utajiri bila kuwa mshirika au chawa ilikuwa ni kosaYaani mafanikio yanakuwa kosa la jinai