Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
Ulitaka tangazo la tenda ulione kwa Millard Ayo au? Simba ilikuwa bado na mkataba na Uhl Sport kitendo cha kutangaza tenda hadharani unadhani kingekuwa na tija?Kwanza Hii Tenda Ya kutengeneza Jezi Za Simba Ilitangazwa Lini? Na Ni Kampuni Zipi Ziliomba Hiyo Tenda?
Unadhani kipi bora kuwatangazia watu wote hata wewe ambaye hata chelehani ya ushonaji huna (achana na kumiliki kampuni) au kuwafuata makampuni husika moja kwa moja?