Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi.

Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake.

"Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu watano ambao watakuwa weledi wa usingizi na kulipwa kulala! Pia hatufanyi matani," ilisema kampuni hiyo kwenye tovuti yake.

Kampuni hiyo iliwaomba wale ambao wangelipenda kuwa sehemu ya utafiti huo kuwasilisha maombi yao mtandaoni kabla ya Mei 31, 2021. Watakaofaulu kupata kazi hiyo watalipwa KSh 159,000 na wataanza punde baada ya kuchaguliwa kwa kipindi cha siku 30 za utafiti huo. Watakaotuma maombi ni lazima walale pekee yao wakati wa kipindi hicho ili kuhakikisha kuwa usingizi wao haukatizwi.

Wakati wa utafiti huo, watafiti watabaini muda mwafaka wa kulala na athari za kulala sana hadi kuchoka. Mambo mengi watakayozingatia ni athari za usingizi kwa kumbukumbu, motisha na tija Kama sehemu ya utafiti na kufaulu kwake, kutakuwa na simu za video baada na wakati wa utafiti na kuulizwa maswali ya moja kwa moja ambapo weledi wa usingizi wataelezea ushuhuda wao.

=====

Sleeping on the job is one thing, but getting paid to do it?

That’s what eachnight, a company focused on sleep health, is offering: $1,500 for taking a nap every day for 30 days.

Eachnight, which offers mattress reviews and sleep guides and tips, is hiring a team of “Nap Reviewers” to “test a few theories behind the pros and cons of napping,” the company said.

“We know that in general different length naps have different benefits, but we are keen to put this to the test, and we need your help!” the company posted on its website.

The catch is that “Nap Reviewers” have to review their sleep time, so even though applicants may live anywhere in the world, they must have “strong English skills” for reviewing their naps and following instructions, according to the post.

“Over the course of 30 days, our dedicated nappers will be required to take part in a variety of experiments testing out theories such as the best nap duration for feeling refreshed, the effects of napping on overall levels of fatigue, and the effects of napping on memory, motivation and productivity,” eachnight wrote.

Applicants must also be at least 18 years old.

Eager to get paid for your snoozing skills? The application is on the company’s website.


Source: Dream Job: This Company Will Pay You To Nap
 
Back
Top Bottom