Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi 90 elfu?