Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi 90 elfu?
Soon utaelewa....Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi 90 elfu?
Leo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.weka na leo salzburg ashinde ndio utaelewa wanapataje faida
Umeanza addiction mbaya sana, mimi mwenyewe kwanza sio mpenzi wa mpira nilikuwa naona watu wanabet na siko na idea yhe first time ninabet nakumbuka betpawa nliweka nadhani 8000 hivi nikala 214000 na nilibet blindly tu ni tena nani atafunga.Leo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.
Jamani msaidieni huyu mama.Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi 90 elfu?
Kidogo kidogo unaanza kua addicted.Leo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.
Ukila hiyo hela niambie nakuongezea kama hiyo hiyo.Leo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.
Anaanza kuwarudishia waliyomkopesha..... Mpaka na Riba atawapa.....Ukila hiyo hela niambie nakuongezea kama hiyo hiyo.
Aya twende kaziMikeka yangu mitano imechanika. Ila sikati tamaa nacheza tena
Shughuli ishaanza[emoji26]Mikeka yangu mitano imechanika. Ila sikati tamaa nacheza tena
Karibu sana chamaniLeo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.