Sasa ww kwa akili yako kuna mwenye akili timam anaweza akampa salzburg leo ushindi?weka na leo salzburg ashinde ndio utaelewa wanapataje faida
Tarehe 17 march ilibadilisha muelekeo wa wengi. Umeanza kubeti? ππππMikeka yangu mitano imechanika. Ila sikati tamaa nacheza tena
Usikate tamaaa... Mafanikio yanakuja taratibu.. Na ulitaka kula sana weka ela nyingi... Then jifunze zile bet za cassino..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikeka yangu mitano imechanika. Ila sikati tamaa nacheza tena
And that's how the Cookie crumblesMikeka yangu mitano imechanika. Ila sikati tamaa nacheza tena
Bora anaye bet kuliko anayecheza mchezo wa kupeana helaUkiona mwanamke anajua hadi kubeti hiyoo kwakwel n balaa sanaaa..
Mi nawanyoosha. Naweka elfu 1 mechi 18. Watajua hawajui. Hela yao niliyoshinda juzi ndiyo naitumia kubet. Sina hasaraBora anaye bet kuliko anayecheza mchezo wa kupeana hela
Hivi hapa asiyejua ni wenyewe kweli ?Mi nawanyoosha. Naweka elfu 1 mechi 18. Watajua hawajui. Hela yao niliyoshinda juzi ndiyo naitumia kubet. Sina hasara
Mkuu unashauri nchi ichukue hatua gani juu ya huu utapeli wa kisasa?Hivi hapa asiyejua ni wenyewe kweli ?
Tuseme unachukua odds za favourites kabisa tena Double Chance yaani 1X; 2X au 12 hapo nakupa odds nzuri za 1.2 (ingawa hapa unaweza ukapewa chini ya hapo)
accumulator ya 18 kwa odds za 1.2 = 26.6 kwa buku yako unapata 26,000/= (Hapo Serikali hajachukua chake 15%)
Na probability ya kupatia timu zote 18 huenda ni mara moja katika kila chaguzi 100 au tuseme 50, au hata tuseme 30, In short hapo ukijapiga hesabu mwisho wa mwaka unaweza kujikuta una minus..., Kuna watu wana miaka kadhaa wanafukuzia accumulator na katika miaka 10 walishashinda kama mara 5 (ila wengi wanakumbuka hizo tano na wanasahau vipigo vya kila siku)
ππππ Umekaribishwa vibaya sana zaidi ya sana kwenye betting world.Leo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.
Ni ngumu kwa nchi kuchukua hatua directly sababu wana-assume kwamba kila mtu anafanya kwa wito wake na anaupeo kwa kutosha (ni mtu mzima)..., Ila nchi inashangilia kwa kodi wanazopata bila kujali long term effects...Mkuu unashauri nchi ichukue hatua gani juu ya huu utapeli wa kisasa?
Sahihi kabisa, juzi nliingia kwenye betting shop moja mitaa ya kinondoni dah nliskitika kwa kweli.99% ya nyuso za wanaobeti mule hazina furaha na idadi ya wanaochana mikeka ni kubwa sana. Yaani ktk watu 1000 wanao-wager basi ni watu 5 tu ndio wanaopataNi ngumu kwa nchi kuchukua hatua directly sababu wana-assume kwamba kila mtu anafanya kwa wito wake na anaupeo kwa kutosha (ni mtu mzima)..., Ila nchi inashangilia kwa kodi wanazopata bila kujali long term effects...
Bali inachobidi kufanyika ni kupunguza matangazo directly ambayo yanafanya recruitment hata kwa watoto..., Betting Firms / Outlets zote ziwe na kibali na wahakikishe under 18 hawaingii wala kufanya betting...
Pili mchezo huu uende na ushauri sio tu kuwaambia watu watusue mapeme bila kuwahabarisha hatari ya kutusuliwa wao......, Yaani kila tukioneshwa Mtu aliyepata trillioni kadhaa kule Nigeria pia tuone aliyeuza nyumba na kufukuzwa na mke wake kule Naivasha....
Addiction yoyote ni mbaya, kwahio hizo pesa Serikali inazopata through gambling / addiction zitumike pia kutoa elimu ya madhara ya gambling as well as watengeneze sera za kuwapatia watu ajira zenye ujira ili watu wapate kipato na sio hizi illusion za one day Yes....
Sasa kwanini usitangazie na wengine huo uwezo wako wa kupata odds 100..., Na hapo huenda ukapata pesa maradufu bila hata kutumia senti yako moja....Leo nimehamia M-BET kidogo. Hawa ndugu wana option nzuri sana. Hasa hii ya "both teams to score". Yaani leo ndiyo watajua hawajui. Tuonane saa 6 kushangilia mtu alivyonyooshwa. Utaratibu ni uleule, stake elfu 2 odds 100. I WAS BORN TO WIN
Naiona roho ya kubet imeanza kukunasa ...soon tutakupoteza maana beting ni addictiveLeo nimecheza viligi vya Kuwait huko na.Austria hukoo. Nikishinda nakula laki 4. Nimeweka 2550 tu odds 200 total.