harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Simba mtoto bado yupo mkuuSatelite, Zamoyoni, Simba Mtoto, Air Shengena, Mbaruku, (Tanga moja), Sharuks, Dar Oyee, Baraka Trans (Ifakara Dar), Akamba bus (Dar Arusha Nairobi)
Mwanahapa coach (Arusha Mbeya) miaka hiyo! Hakuna cha tochi wala trafiki barabarani. Jamaa walikuwa wanajiachia tu.
Air born city
Hizi zilikua mashine atari ilikua ni ligi ligi biashara ilikua ni mda na sio abiria enzi hzo root ni vumbi vumbi!
Yawezekana mkuu sina uhakika saana
Fresh ya Shamba....
Matema beach.....
Everyday is Saturday........................ 😎
Simba mtoto bado yupo mkuu
Ally's kamwaga chuma mpyaaa ! Mke wake ndo mhasibu mkuu, yule mama akishka tu kitabu cha tiket kabla ya kufunua anakwambia weka kias kadhaa mezani.Mombasa raha,Ally's
SUBIRI KIDOGO
Sio wote wana ndagu ila 99.9999% ni washrikina kupita maelezoHalafu wengi wa wenye biashara za Mabasi ni wazee wa ndagu
Acha aisee, kumbe kuna mabo yao chini ya kapeti? 😳Ally's kamwaga chuma mpyaaa ! Mke wake ndo mhasibu mkuu, yule mama akishka tu kitabu cha tiket kabla ya kufunua anakwambia weka kias kadhaa mezani.
Kweli mkuuTawfiq
Takrim
Wakongwe wa Nissan Diesel...Tawfiq
Takrim
amehamishia biashara yake Drc siku hiziRATCO wameshasnza safari?
Umenikumbusha ruti ya Mwanza, Musoma, Sirari, Nairobi, Namanga, Chalinze Dsm siku 2 hapo, ukipanda gari kipindi cha mfungo wa Ramadhan ikifika muda wa futuru Mnapiga Futari ya nguvu kwa udhamin wa tajir Mwarabu... kitambo sana 1999 mpaka 2002Tawfiq
Takrim
Upo nchi gani hiyo ambayo Dar express anachechemea?Ongeza na DAR EXPRESS ndio inaishia