Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Air born city

Hizi zilikua mashine atari ilikua ni ligi ligi biashara ilikua ni mda na sio abiria enzi hzo root ni vumbi vumbi!
 
Satelite, Zamoyoni, Simba Mtoto, Air Shengena, Mbaruku, (Tanga moja), Sharuks, Dar Oyee, Baraka Trans, AlJabry (Ifakara Dar), Moro Best, Islam, Sadiq line (Moro Dar), Akamba bus (Dar Arusha Nairobi)

Mwanahapa coach (Arusha Mbeya) miaka hiyo! Hakuna cha tochi wala trafiki barabarani. Jamaa walikuwa wanajiachia tu.
 
Satelite, Zamoyoni, Simba Mtoto, Air Shengena, Mbaruku, (Tanga moja), Sharuks, Dar Oyee, Baraka Trans (Ifakara Dar), Akamba bus (Dar Arusha Nairobi)

Mwanahapa coach (Arusha Mbeya) miaka hiyo! Hakuna cha tochi wala trafiki barabarani. Jamaa walikuwa wanajiachia tu.
Simba mtoto bado yupo mkuu
 
Ally's kamwaga chuma mpyaaa ! Mke wake ndo mhasibu mkuu, yule mama akishka tu kitabu cha tiket kabla ya kufunua anakwambia weka kias kadhaa mezani.
Acha aisee, kumbe kuna mabo yao chini ya kapeti? 😳
 
Kuna moja lilikuwa linaitwa WASA... Nadhani lilifanya safari kati ya Mafinga au Ifunda, kwenda Kiponzero
 
Tawfiq

Takrim
Umenikumbusha ruti ya Mwanza, Musoma, Sirari, Nairobi, Namanga, Chalinze Dsm siku 2 hapo, ukipanda gari kipindi cha mfungo wa Ramadhan ikifika muda wa futuru Mnapiga Futari ya nguvu kwa udhamin wa tajir Mwarabu... kitambo sana 1999 mpaka 2002
 
Back
Top Bottom