Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Bunda,hamanju,Amwenye hizi zote kusini
Daah hamanju ndo ilikuwa kampuni ya kwanza kuleta bus za mchina kusini (lindi na mtwara),ilileta mapinduzi makubwa na changamoto kwa kampuni za mabasi ya kusini kipindi kile kama wahida, akida, ndekira, Buffalo, nk...hazikukaa sana barabarani kutokana na barabara kutokuwa rafiki kwa gari za mchina mfano dar-tunduru ilikuwa tajiri akisafiri na gari yake hawezi kuruhusu iende tena hiyo route

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rombo kule Tarakea kuna meridian sijui ilifikia Wapi ile kamapuni.
 
Widambe

Simba Luwala
 
Widambe

Simba Luwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…