Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ngoma ya kale saana, ila bado ipo inaenda Tanga na Mombasa, Mabasi yake ya rangi ya Chungwa na Maandishi yanang'aa kama kioo
Najmunisa na tashriff ni kama wanafutika taratibu hiviScandinavia zilikuwaga basi aisee.
Tashriff za Tanga nazo sizioni road.
Hivi Zuberi na Najmunisa bado zipo?
Wapo kwenye Surviving stage kama Champion na Super Champion
Daah hamanju ndo ilikuwa kampuni ya kwanza kuleta bus za mchina kusini (lindi na mtwara),ilileta mapinduzi makubwa na changamoto kwa kampuni za mabasi ya kusini kipindi kile kama wahida, akida, ndekira, Buffalo, nk...hazikukaa sana barabarani kutokana na barabara kutokuwa rafiki kwa gari za mchina mfano dar-tunduru ilikuwa tajiri akisafiri na gari yake hawezi kuruhusu iende tena hiyo routeBunda,hamanju,Amwenye hizi zote kusini
Mara ya mwisho kupanda dar express ni lini vip huduma zao, bado wanagawa soda 2 na keki na pipi, AC mwanzo mwisho? tupe uzoefu wako mara ya mwisho kupandaUpo nchi gani hiyo ambayo Dar express anachechemea?
Rombo kule Tarakea kuna meridian sijui ilifikia Wapi ile kamapuni.Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Kabisa mkuuIringa Mjini kwenda Makete, au! Kama ni huyo mpaka leo bado yupo na hajawahi kuwa na mpinzani kwenye hiyo njia.
Bado ipo inasuasua na mabasi chakavuRombo kule Tarakea kuna meridian sijui ilifikia Wapi ile kamapuni.
ShinyangaMohammed Trans sio Mwanza?
Kitambo sana ....ilivuma sana Hii kampuni miaka ile 2000s . kweli nyakati hubadilika.Bado ipo inasuasua na mabasi chakavu
pia naona hawamtajiMbona mmesahau hizi:-
- KAMATA miaka ya 1970s
- Ndomi ( musoma)
- J4 (mwanza)
- Bunda bus nae tunamzika taratibu
WidambeScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
WidambeScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua