Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.

Screenshot_20211001-080735_Phone.jpg

Screenshot_20211001-080735_Phone.jpg
 
Mbona kama wamepunguza...kutoka gb 1 kwenda Mb 750
 
Wanauhasama kwa ndani ndani, Voda na tigo ni marafiki, Tigo na Zantel marafiki na Airtel na Ttcl ni marafiki
Nb, marafiki maana yake ni good terms
Hivi sio kosa kisheria kwa makampuni ambayo Ni competitors kwny biashara kukaa chini pamoja na kupanga Bei za bidhaa zao?Wanasheria msaada kidogo hapo
 
Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote.

Yani wanachofanya wakiona wewe ni mteja mzuri wanakupandishia wewe kama wewe,ukiwapiga chini Kwa muda wanakupa tena ofa kabambe.

Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea
 
Ki sera na policy 1000tsh ni 1GB hayo mengine ni wizi wa wazi
Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote

Back
Top Bottom