Hivi kazi ya TCRA ni kufnya nini, wana cheza na akilin za wananchi. Leo wansema wana wasimamia kwa masilai ya wananchi lakini baadae wanarudi pale pale.
Kila siku haya matukio ya Mihemko tumechoika , au na wao TCRA wanaenda kwa kiki kwani hizi ni kiki mpaka Raisi aingiliie kati ndo waanza kufnya kazi.
Hawa watu hawapo serious na kazi zao,
kampuni za simu nao hawana huweledi katika kazi zao , wa set price kwa specific time, sio wanakurupuka tuu, wakiona wanaanza kuiingi hasara wanakuja na haya makato au vifurushi ambavyo ni kuumiza wananchi.
kama wana shindwa kufnya kazi kwa kutoa huduma ya kueleweka wapewe wa hisani wengine wa invest katika teknolojia ya simu/ mitandao