Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwani heading ya hii thread umeona inasemaje?Mbona kama wamepunguza...kutoka gb 1 kwenda Mb 750
Hadi zantel nako ni majanga tupu [emoji174][emoji31]
Kwani heading ya hii thread umeona inasemaje?
Wote mb nizauongo pia kasi ni ndogo km unanunua mb za wiki zinaisha kwa sikuVodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days...
Ohoooo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Hivi sio kosa kisheria kwa makampuni ambayo Ni competitors kwny biashara kukaa chini pamoja na kupanga Bei za bidhaa zao?Wanasheria msaada kidogo hapo
Turudi nyumbani kumenoga!
Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote
Yani wanachofanya wakiona wewe ni mteja mzuri wanakupandishia wewe kama wewe,ukiwapiga chini Kwa muda wanakupa tena ofa kabambe.
Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea