Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

Bora tu ujiunge ile voda kasi 30 days uchuuzi wa vijibandle ni hasara tu kwanza unaweza tumia zaidi ya elfu 50 and usumbufu wa kujiunga unga and mb zinakata hovyo... jiunge kasi utakuja elewa
 
Kuna watumiaji wa aina mbali mbali na wengi ni watumiaji ni wale wa starehe,leisure
Bora tu ujiunge ile voda kasi 30 days uchuuzi wa vijibandle ni hasara tu kwanza unaweza tumia zaidi ya elfu 50 and usumbufu wa kujiunga unga and mb zinakata hovyo... jiunge kasi utakuja elewa
 
Kiswahili changu cha kijaluo. Wamepunguza au wamepunguza [emoji102]
 
Kwa Airtel hata wauze shilingi mia (sh.100/=) kwa 100gb; siwezi kununua bando lao kwa sababu ni mtandao unaiba pesa, kwa kununua bando lisilo fanya kazi mpaka muda wake unaisha, na hata kupiga simu ni majanga !
 
Hivi kazi ya TCRA ni kufnya nini, wana cheza na akilin za wananchi. Leo wansema wana wasimamia kwa masilai ya wananchi lakini baadae wanarudi pale pale.
Kila siku haya matukio ya Mihemko tumechoika , au na wao TCRA wanaenda kwa kiki kwani hizi ni kiki mpaka Raisi aingiliie kati ndo waanza kufnya kazi.
Hawa watu hawapo serious na kazi zao,
kampuni za simu nao hawana huweledi katika kazi zao , wa set price kwa specific time, sio wanakurupuka tuu, wakiona wanaanza kuiingi hasara wanakuja na haya makato au vifurushi ambavyo ni kuumiza wananchi.
kama wana shindwa kufnya kazi kwa kutoa huduma ya kueleweka wapewe wa hisani wengine wa invest katika teknolojia ya simu/ mitandao
 
Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea
Kumbeee, ngoja nipige chini Tigo maana wameleta tamaa kwangu
 
TCRA hawana mamlaka ya kupanga bei ya VIFURUSHI vya mawasiliano!!!..Bei zinapangwa na watoa huduma!!
 
Kodi bro,wamepandishiwa.
Kwahiyo na sisi ndio wanatunyonga zaidi.
Kuna mtu alituambia tuvumilianee kwanza tujenge 'nchi',naona ndio tupo kwenye foundation.
Nyie si mlitaka wawekezaji ndio walipe Kodi zaidi!!!..
 
Kwa Airtel hata wauze shilingi mia (sh.100/=) kwa 100gb; siwezi kununua bando lao kwa sababu ni mtandao unaiba pesa, kwa kununua bando lisilo fanya kazi mpaka muda wake unaisha, na hata kupiga simu ni majanga !
Wewe Acha uongo badilisha hiyo simu yako mbovu!!..Natumia Airtel sijawahi kukutana na hii unayosema
 
"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Lazima gharama za maisha zibadilike (Kupanda,Kushuka) huyu alijua tutajua uchafu wake ndio maana alitaka kungangania....Tutamkumbuka Kwa kuwapa Marafiki zake Ubunge!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…