hahahaa hatari mkuu sema tu labda alikua hamkubali kitu ambacho ni kawaida kila mtu anamkubali mtu flani na hamkubali mwngine ila kusema chuki duh huko mbali mkuu labda km walikua wanafahamianaInaweza kuwa ina ukweli kwa kiasi fulani yaani ni magu 40/ Suluhu 60 lakini namna alivyopresent anaonesha wazi kabisa chuki binafsi aliyonayo dhidi ya magufuli.
Ukiwa Dodoma, Moshi, Mwanza , Dar es Salaam na kwingineko hakuna shida ya tatizo la mtandao wala speed. Lakini, ukiwa Milima ya Kitonga ambayo ipo barabara ya Morogoro Mbeya hapo hakuna cha speed au mtandao. Je.mitandao mingine vipi ukiwa Kitonga?Tatizo ni mtandao na kasi
Tatizo kodiHivi sio kosa kisheria kwa makampuni ambayo Ni competitors kwny biashara kukaa chini pamoja na kupanga Bei za bidhaa zao?Wanasheria msaada kidogo hapo
😂😂😂 Huko bado sana mkuuUkiwa Dodoma, Moshi, Mwanza , Dar es Salaam na kwingineko hakuna shida ya tatizo la mtandao wala speed. Lakini, ukiwa Milima ya Kitonga ambayo ipo barabara ya Morogoro Mbeya hapo hakuna cha speed au mtandao. Je.mitandao mingine vipi ukiwa Kitonga?
"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Ttcl? Hawana mvuto ni kama simu ya Tecno tu hata ikiwa nzuri ila haina fashion
Kwa Airtel hata wauze shilingi mia (sh.100/=) kwa 100gb; siwezi kununua bando lao kwa sababu ni mtandao unaiba pesa, kwa kununua bando lisilo fanya kazi mpaka muda wake unaisha, na hata kupiga simu ni majanga !
Halafu mleta Mada naona unaserereka na WI FI tu
CCM NI BABA LAO MPAKA MNYOOKEVodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days...
CCM NI BABA LAO MPAKA MNYOOKE
Mbaya zaidi kila muda unapishana na mawakala wa kusajili
Walipunguza kitambo mno..Mtandao wa simu za mkononi wa vodacom wiki hii umepunguza ukubwa wa vifurushi huku wateja wakiendelea kulipa kwa bei ile ile. Huu ni wizi wa mchana kweupe...