Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Ila ajira zingine zimetangazwa kwa CAG!hapa ajira zinaenda kupotea soon
CAG ataajiri watu 4 tu kwani hukusikia, subiri utaona hapa www.ajira.go.tzIla ajira zingine zimetangazwa kwa CAG!
25 bana!CAG ataajiri watu 4 tu kwani hukusikia, subiri utaona hapa www.ajira.go.tz
NduguIla ajira zingine zimetangazwa kwa CAG!
From 60 damn million people25 bana!
hata kama 25 hizo kampuni zina wafanyakazi wangapi? hapo ametatua au ameongeza tatzo la ajira25 bana!
Tunabana matumizi ndugu! Hizo kampuni itabidi ziwe na contingent plan! Na ni kweli kila maamuzi yana faida na hasara! Kwa hili, lina faida kwa serikali!hata kama 25 hizo kampuni zina wafanyakazi wangapi? hapo ametatua au ameongeza tatzo la ajira
umefikiria ni vijana wangapi watabaki mtaani kwa kukosa ajira?Tunabana matumizi ndugu! Hizo kampuni itabidi ziwe na contingent plan! Na ni kweli kila maamuzi yana faida na hasara! Kwa hili, lina faida kwa serikali!
Kwa ajira, kuna tatizo, lakini kwa matumizi ya serikali amepunguza! I also feel bad for those who are going to be out of business! Hata hivyo, makampuni yanahitaji kuwa na mbadala ili kujihakikishia usalama…sasa kama walibweteka na serikali tu as their solo customer, hii itakuwa mbaya sana kwao!hata kama 25 hizo kampuni zina wafanyakazi wangapi? hapo ametatua au ameongeza tatzo la ajira
kusema ukweli sijui wangapi watakosa ajira! Lakini mpaka CAG kufikia maamuzi hao, ameona kuna faida zaidi ya hasara!umefikiria ni vijana wangapi watabaki mtaani kwa kukosa ajira?
Tunabana matumizi ndugu! Hizo kampuni itabidi ziwe na contingent plan! Na ni kweli kila maamuzi yana faida na hasara! Kwa hili, lina faida kwa serikali!
Wale wa kampuni za ukaguzi al maarufu kama audit firms kama pwc, delloite, kpmg, ey mkae mkijiandaa kufa. Hii nawapa tu tahadhari
Juzi mlimsikia CAG akisema amepunguza gharama za ukaguzi kutoka kwenye makampuni binafsi yaliyokua yakikagua taasisi za serikali kubwa kama benki kuu.
Makampuni makubwa ya serikali yamekua miaka na miaka yakikaguliwa na makampuni binafsi kwa sababu ofisi ya cag haina uwezo wa kufanya ukaguzi makampuni au taasisi zote za serikali, hivyo imekua ikitumia makampuni binafsi kufanya ukaguzi ila sasa cag anataka kuondokana na utegemezi wa makampuni binafsi kwenye kufanya ukaguzi.
Serikali imeahidi kuongezea rasilimali watu na rasilimali fedha ofisi ya cag ili iweze kufanya ukaguzi yenyewe, hivyo wenye kampuni binafsi za ukaguzi lazima muanze kufikiria namna nyingine ya kuongeza kipato maana mteja wenu mkubwa serikali anawakimbia huku private sector yetu sio stable and reliable, wafanya biashara wengi hawaandai hesabu na biashara zinaendeshwa kijaja janja, makampuni binafsi imara ya kueleweka ni machache, mjiandae na huo mtikisiko.