Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

Kwa ajira, kuna tatizo, lakini kwa matumizi ya serikali amepunguza! I also feel bad for those who are going to be out of business! Hata hivyo, makampuni yanahitaji kuwa na mbadala ili kujihakikishia usalama…sara kama walibweteka na serikali tu kama the sole customer, him itakuwa mbaya sana kwao!
Economic system inayotumika ni ya kutajirisha serilali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ajira zingine zimetangazwa kwa CAG!
Afadhali CAG aongezewe nguvu kazi.Makampuni hayo yanapokagua hu-collude na kampuni/taasisi husika na kutoa hati safi.Hutasikia mafyongo hata siku moja. Huwezi kujua haya mpaka uwe mojawapo ya wakaguaji na wakaguliwa.
 
Yes,kikubwa ufanisi na matokeo chanya.Kama hubani matumizi na kupunguza gharama halafu hakuna ufanisi ni bora kukubali kugharimia na kutobana matumizi ili kuwe na tija.
Unabana matumizi kwa kuongeza gharama? Ili aondoe outsourcing inabidi aajiri watu watakaofidia pengo la audit firms. Full time salaries vs buying services.
 
Subiri unyolewe au kibarua kiote mbawa.
Audit firms tuna 15% rule...kwamba ada unayomtoza mteja mmoja isizidi 15% of jumla ya ada za wateja wote. Kwa maana hiyo audit firms za kati na zile kubwa haziwezi kuathirika kwa kukosa kazi za mwezi mmoja yaani Octoba. Kitakachopungua ni faida
 
Kuongeza idadi ya wafanyakazi kwa ajili ya kazi za miezi mitatu ilihali wewe utawalipa miezi 12 pamoja na lizizo ya mwaka nao si uamuzi sahihi. Kitu muhimu ilikuwa na Serikali kuingilia namna audit firm zinavyotoza ada zake za ukaguzi au kutumia zaidi kampuni ndogo na za kati.

NB: Nami ni mdau wa hizo kampuni za ukaguzi
Miongoni mwa majukumu ya serikali ni kutengeneza ajira kwa wananchi wake hivyo kuwalipa watu miezi 12 hata kama kazi ni ya miezi mitano sio ishu
 
Miongoni mwa majukumu ya serikali ni kutengeneza ajira kwa wananchi wake hivyo kuwalipa watu miezi 12 hata kama kazi ni ya miezi mitano sio ishu
1987SANAWA sawa kiongozi; kwani huku Sekta binafsi serikali ikigawa hizo kazi hawatoi ajira na kuchangamsha uchumi?
 
Ulichoongea hukijui wala hauna uelewa nacho,,secta ya ukaguzi ni pana sana zaid unavyozan wewe.
Serikali imepunguza lakin haijaondoa na haiwez ondoa kamwe,
Serikali zote huwa na wakaguzi binafsi,

Alichokizungumza CAG ni sehem tu yakupunguza ila si kuondolewa.tender zipo nyingi na serikal haina ubavu wa kukagua mashirika yote..
 
Mkuu umepotea njia. Hayo ni makampuni ya mabeberu, hayawezi kufirisika kwa serikali kuanza kutumia makampuni ya ndani.

Labda umekosea mifano. Ungetafuta kampuni za kizalendo.
Hao mabeberu wapo dunia nzima, hawaitegemei serikali ya Tanzania kuishi.
 
"KNOW HOW" yao wakifanya kazi za serikali wana cha ziada wanachoiongezea Serikali? Kwanini IPSASs ilifundishwa Serikalini na haya makampuni badala ya taasisi za serikali kama chuo kikuu kufanya hiyo kazi?.

MGAWANYO WA KAZI una maana kubwa sana kwenye uchumi tofauto na tujuavyo.
 
Unabana matumizi kwa kuongeza gharama? Ili aondoe outsourcing inabidi aajiri watu watakaofidia pengo la audit firms. Full time salaries vs buying services.
full time salary si ndio ajira zenyewe hizo mkuu?
 
Back
Top Bottom