Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

Yes,kikubwa ufanisi na matokeo chanya.Kama hubani matumizi na kupunguza gharama halafu hakuna ufanisi ni bora kukubali kugharimia na kutobana matumizi ili kuwe na tija.

Kuna kipindi huwa nawaza kuwa inawezekana Watanzania ni unique specie ya binadamu.
 
Lakini hata CAG "yule" aliwahi kilalamika bajeti yake kukatwa....
 
Lakini kubwa sio uwezo kwa maana ya idadi ya auditors bali quality (uwezo wa hapo auditors). CAG ataweza ku attract na ku retain the the best people? Mishara ya serikali na mazingira ya kazi itaweza kushindana na sekta binafsi?
 
Na bado anataka miaka mitano zaidi,Tutashihudia mengi

Sent from my TECNO K8 using Tapatalk
 
Ndio tatizo la kuitengemea serikali mngekuwa na mbadala wake, hicho ni kifo cha nyani miti yote inateleza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulichoongea hukijui wala hauna uelewa nacho,,secta ya ukaguzi ni pana sana zaid unavyozan wewe.
Serikali imepunguza lakin haijaondoa na haiwez ondoa kamwe,
Serikali zote huwa na wakaguzi binafsi,

Alichokizungumza CAG ni sehem tu yakupunguza ila si kuondolewa.tender zipo nyingi na serikal haina ubavu wa kukagua mashirika yote..
Umeandika nini hapa?

Rudia kusoma nilichokiandika kisha usome utumbo uliouandika.

Hakuna mahala popote serikali inalazimika kua na wakaguzi binafsi.

Kama uka kikampuni mavi jiandae kufa njaa.
 
Sidhani hao auditors wa gavo walivyo wapigaji watakaza lisitokee wana maslahi yao.
 
Kiaje ladyred, si Kuna private companies kibao.
Seems una uhakika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika wala
nasikia tu fee ya kukagua huko Serikalini ni kubwa sana
Yani hii sio habari njema kabisaa kwao
Private company ipi ama ngapi zina uwezo wa kulipa fee za milioni 500?!!
 
Kuongeza idadi ya wafanyakazi kwa ajili ya kazi za miezi mitatu ilihali wewe utawalipa miezi 12 pamoja na lizizo ya mwaka nao si uamuzi sahihi. Kitu muhimu ilikuwa na Serikali kuingilia namna audit firm zinavyotoza ada zake za ukaguzi au kutumia zaidi kampuni ndogo na za kati.

NB: Nami ni mdau wa hizo kampuni za ukaguzi
Jana kuna mdau kaniambia kampuni karibu makampuni makubwa yote ya serikali yameandikiwa barua na cag kujulishwa kua watakua na wakaguzi wake na sio wa makampuni binafsi.

Makampuni au taasisi kubwa kama BOT, mifuko ya hifadhi za jamii, Ewura, REA, Tanesco, Tpdc, Airtanzania, Tanapa, Ncaa, vyuo vikuu na kadhalika sasa yanakaguliwa moja kwa moja na wakaguzi wa cag.

Ni msiba mzito kwa kweli kwenye ajira za haya makampuni.
 
Sina uhakika wala
nasikia tu fee ya kukagua huko Serikalini ni kubwa sana
Yani hii sio habari njema kabisaa kwao
Private company ipi ama ngapi zina uwezo wa kulipa fee za milioni 500?!!
Kuna makampuni yalikua yanatoa hadi 1.2b audit fee, sio hela kidogo hii.

Makampuni binafsi yenye uwezo wa kutoa hela kama hiyo ni machache sana, labda Mo, Bakhresa, ni mchache sana.
 
Jana kuna mdau kaniambia kampuni karibu makampuni makubwa yote ya serikali yameandikiwa barua na cag kujulishwa kua watakua na wakaguzi wake na sio wa makampuni binafsi.

Makampuni au taasisi kubwa kama BOT, mifuko ya hifadhi za jamii, Ewura, REA, Tanesco, Tpdc, Airtanzania, Tanapa, Ncaa, vyuo vikuu na kadhalika sasa yanakaguliwa moja kwa moja na wakaguzi wa cag.

Ni msiba mzito kwa kweli kwenye ajira za haya makampuni.
Tulipofikia Serikali imeacha wajibu wa kuborosha mazingira ya kufanya biashara badala yake serikali imekuwa msindani wa wadau wa sekta binafsi. Huko nyumba kutoka kazi wa ujenzi kwa makampuni binafsi haikuwa bahati mbaya; lengo lilikuwa kujenga uwezo wa kampuni binafsi. Leo kijana ukimwambia achukue PCM aje kuwa Engineer tayari anafahamu kinachoendelea kwenye hiyo sekta na jibu lake ni kuwa kazi zote zinafanywa na serikali.
 
Back
Top Bottom