Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Hizi kazi ndo zinawalisha mashabiki wengi wa simba na yanga bila kusahau team kiba,kondegang na team mond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa ni fast moving product , hiyo 1% inaweza kuwa hela nyin Kama,sales officer .Inategemea unauza bidhaa ya aina gani maana kwa fast moving goods 1% inaweza ikawa hela ndefu😅
1% inaweza kuwa ndogo Ila Kama sales officer akiwa ana run business ambayo ni ile yenye high moving /fast Moving products kuuza Wastani wa 500mil is possible per month.Inategemea unauza bidhaa ya aina gani maana kwa fast moving goods 1% inaweza ikawa hela ndefu😅
Vp mkuu ni miaka mitano sasa imepita, umepata kazi ya mshahara unaoutaka?Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu thank you endelea na zoezi la kutafuta mtu mwingine, me siko tayari kwa huo mshahara.
Kuna maswali nimejiuliza, haya makampuni ya wachina huwa hayana HR department wakawashauri vizuri namna ya kurecruit watu na issue nzima ya compensation mpaka General Manager mwenyewe anaingia front kuokoteza wafanyakazi, na hiyo mishahara yao wanayotoa kama sio kutafuta kuibiwa ni nini?
Eti mshahara laki 2, serious?
View attachment 2020723
Unaendeleaje mkuu, sasa hv naimani utakuwa unafanya kazi unayolipwa 50k per dayKuna siku mchina kanicheki kasema tunatafuta HR ila tutakulipa 23K per day
Nikamuuliza iyo ni meal au salary?
Akanijibu kuwa ni salary nikamuuliza ivi umeangalia wapi nafanya kazi na experience yangu
kalala mbele
hawa jamaa wajinga sana aiseee