Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

Hizi kazi ndo zinawalisha mashabiki wengi wa simba na yanga bila kusahau team kiba,kondegang na team mond
 
Inategemea unauza bidhaa ya aina gani maana kwa fast moving goods 1% inaweza ikawa hela ndefu😅
1% inaweza kuwa ndogo Ila Kama sales officer akiwa ana run business ambayo ni ile yenye high moving /fast Moving products kuuza Wastani wa 500mil is possible per month.

Sijafanya Sana Marketing &sales Ila nimewahi kuuza bidhaa Fulani ambayo ilikuwa inatoka Sana ilikuwa ni matairi ya Magari Makubwa. Ila 200M -300M ni hela ambayo sales mmoja alikuwa akiuza hivyo mtu kupata 2.5M ilikuwa kawaida.


Then Kwa sasa mitandao imesaidia kukuza Kazi ya marketing and sales , waweza kuwa Client hunter Kwa kupitia Facebook, Instagram, n.k

So sometimes kuwa salesmen inambidi mtu kuwa client hunter na ukishakuwa database Wateja unakuwa hautumii nguvu ku-run business .


So 1% inaweza isilete maana ikiwa unauza bidhaa ambazo hazina mzunguko wa haraka.
 
Vp mkuu ni miaka mitano sasa imepita, umepata kazi ya mshahara unaoutaka?
 
Kuna siku mchina kanicheki kasema tunatafuta HR ila tutakulipa 23K per day
Nikamuuliza iyo ni meal au salary?
Akanijibu kuwa ni salary nikamuuliza ivi umeangalia wapi nafanya kazi na experience yangu
kalala mbele
hawa jamaa wajinga sana aiseee
Unaendeleaje mkuu, sasa hv naimani utakuwa unafanya kazi unayolipwa 50k per day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…