A
Anonymous
Guest
Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa wakifanya kazi) wanaachwa bila kulipwa na hawana sehemu ya kulalamika.
Mfano, kuna kampuni moja ilichukua mkataba mwaka 2024, inaitwa Bamm Solution, hadi leo wafanyakazi wanadai mshahara wa miezi miwili, haijawalipa. Nyingine inaitwa Losarea Company, ilichukua mkataba Mwaka 2025, nayo imemaliza mkataba na wafanyakazi wanadai miezi miwili. Nayo imemaliza mkataba wake na haijawalipa.
Kisingizio chao ni kwamba wanadai Jiji, na Jiji wakiulizwa wanasema “Sisi tumeacha kulipa siku nyingi.” Haki ya hawa wakusanyaji iko wapi?
======
Kampuni ya Losarea Limited imemaliza mkataba huu ni mwezi wa tatu, Jiji wanadai wameshawalipa ila wao wamegomea kuwalipa Wafanyakazi, je haki ya hawa Wafanyakazi iko wapi? Iikuwa inalipa Sh 150,000 kwa mwezi imehamia Arusha imewaacha huku haijawalipa.