Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

mtanzania popote alipo anapenda kumuonea mtanzania mwenzake ama kwa kumyanyasa au kumbambikia au kumtoa pesa au kumsumbua tu mradi akuambie njoo kesho au wiki ijayo wakati kazi hiyo anaifanya kwa dakika 2, watanzania wenye asili ya kiasia ndio wanasumbuliwa kuliko watu wengine, tanzania tunaishi ni jela isiokuwa na fence
 
Halafu wakuu wote wa Ulinzi na Usalama wameondoka (kustaafu/kutenguliwa) lakini huyu YUMO tu. Huenda kinachombeba ni kwasababu yeye ni.........

Anyway ngoja ninyamaze tu

mwanamke
 
Nincompoop.
 
Umesahau kubwa zaidi ni vishoka....vishoka wanatamba hao na wamekamata Hilo jengo kuanzia reception, kuhojiwa ,picha etc....
 
Wanasumbua mpk uwe na mkono mrefu yaani within a day unapata bila maswali
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wizara husika mpo hapa....

Hili nalo mkalitazame.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Umesahau kubwa zaidi ni vishoka....vishoka wanatamba hao na wamekamata Hilo jengo kuanzia reception, kuhojiwa ,picha etc....
Kuna Mmoja wa Kishoka ni Mchezaji Mpira mkubwa tu initials za Majina yake ni OM. Huyu Kacheza Ligi Kuu ya Zanzibar na hapa Tanzania akiwa na aliyskuwa Beki wa zamani wa Yanga SC aitwae Benito John.

Ni Kishoka anayefanyia katika Stationey inayotazamana na Geti Kuu la Kuingia hapo UHAMIAJI. Pia ana Undugu na aliyekuwa Meya Mmoja hivi Fisadi wa Kinondoni mwenye Msikiti wenye Jina lake Kawe.
 
Hakuna mahali copy kwa sh 500 labda ya rangi
Acheni kunilazimisha Niwadharau na Niwaite Wapumbavu halafu mkasirike sawa?

Hiyo Bei ya Copy ya Kawaida ya Tsh 500/= kwa Kurasa Moja imeandikwa na ipo Ukutani.

Kama una muda nenda Ukajiridhishe na nikisemacho na huwa sitoi Taarifa ya Uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…