GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
GENTAMYCINE nipigwe...!! Unaota kweli na huenda nyie mnaobishia hili ndiyo Wamiliki wa hizo Stationeries ninazozipigia Kelele hapo Nje UHAMIAJI Kurasini.Labda kapigwa
Tz siku hizi kila mwenye kitengo anajifanyia anavyotaka yeye,akikupenda utapata huduma faster bila kuchelewa,na akikuchukia utapigwa danadana hadi ukate tamaa na issue yako!!mtanzania popote alipo anapenda kumuonea mtanzania mwenzake ama kwa kumyanyasa au kumbambikia au kumtoa pesa au kumsumbua tu mradi akuambie njoo kesho au wiki ijayo wakati kazi hiyo anaifanya kwa dakika 2, watanzania wenye asili ya kiasia ndio wanasumbuliwa kuliko watu wengine, tanzania tunaishi ni jela isiokuwa na fence
Usichanganye kopy na ku printJe, ni copy ya aina gani? Maana kama ni Coloured bei itakuwa juu.
Hayo mengine siyajui.
Acheni kunibishia na Kunilazimisha Niwadharau na niwaone Majuha ( Fools ) sawa?Usichanganye kopy na ku print
Copy kawaida ni 100
Copy colour ni 200 had 500
Weka pichaAcheni kunilazimisha Niwadharau na Niwaite Wapumbavu halafu mkasirike sawa?
Hiyo Bei ya Copy ya Kawaida ya Tsh 500/= kwa Kurasa Moja imeandikwa na ipo Ukutani.
Kama una muda nenda Ukajiridhishe na nikisemacho na huwa sitoi Taarifa ya Uwongo.
MIMI CJAKUELEW KBSA , NIMETOA BEI ZA HUDUM YA COPY HAPO JUU AMBAYO TZ MZIMA VIJJN NA MIJIN NDIO BEIAcheni kunibishia na Kunilazimisha Niwadharau na niwaone Majuha ( Fools ) sawa?
Sifa kubwa ya GENTAMYCINE ni Kujiamini 100% kwa Taarifa zangu niziletazo hapa JamiiForums sawa?
Narudia kusema tena kuwa Copy ya Kawaida hapo ni Tsh 500/= na siyo Tsh 100/= au Tsh 200/= kama mnavyosema sawa?
Na ningewaona mna Akili kama baada ya kuja na hii Taarifa yangu mngeenda Kupeleoeza katika hizo Stationeries ili mjirishe Matokeo yake mnabisha na kunibishia Mtu ambaye nimeshuhudia Mwenyewe.
Na hata hiyo Bei ya Tsh 500/= ya Kurasa ( Page ) Moja tu kwa Copy ya Kawaida hapo katika hiyo Stationery imeandikwa na Kubandikwa Ukutani.
Siku zote uongozi wa nchi ukiwa mbovu gharama hulipwa na kila mtu. Mwanzisha thread anataka waliolianzisha tatizo walitatue! Haya ni maajabu. Raia wa Tanzania ni kama wanatumia robo ya bongo zao kutafakari mambo. Hivi hamni kuwa haya yote ni matokeo ya uongozi mbovu na njia pekee ya kuyaondoa ni kubadilisha uongozi?watanzania ni watu wa ajabu sana wanapenda sana kutumia shida za watu kujiingizia kipato kisicho halali
mfano hapo kwenye kopi ya tsh 100 wao wanafanya tsh 500 na wanajua watawapata wengi,ujinga huo huo ulikuwepo Police pale ukienda kutafuta loss report
nchi imejaa laana hii watu wanawanyonya watu pesa isiyo halali na ndio mana shida haziishi 😎
Samaki huoza kuanzia kichwaniSiku zote uongozi wa nchi ukiwa mbovu gharama hulipwa na kila mtu. Mwanzisha thread anataka waliolianzisha tatizo walitatue! Haya ni maajabu. Raia wa Tanzania ni kama wanatumia robo ya bongo zao kutafakari mambo. Hivi hamni kuwa haya yote ni matokeo ya uongozi mbovu na njia pekee ya kuyaondoa ni kubadilisha uongozi?
Sasa unashindwa kupata passport kwa sababu ya barua ya mwaliko?Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Hapo getini wana scanner mashine au hawana?Kwa kweli nilipoambiqa begi nikaweke duka la jirani nilishangaa sana. Huo ni ujinga.
Ofisi nyingi tena muhimu begi tukikaguliwa unakiwa nayo lkn hapo ujinga ujinga tu.
Kweli African should be colonized again
Labda ya unavyotolewa Chawa Kichwani.Weka picha
Wanazo tena Mbili ila sijui kwanini wanakuwa Wapuuzi na Majuha hivi au Wakubwa zao hawalifanyii Kazi.Hapo getini wana scanner mashine au hawana?
Na kiparaLabda ya unavyotolewa Chawa Kichwani.
Nimecheka sana Mkuu.Samaki huoza kuanzia kichwani
Nonsensical.MIMI CJAKUELEW KBSA , NIMETOA BEI ZA HUDUM YA COPY HAPO JUU AMBAYO TZ MZIMA VIJJN NA MIJIN NDIO BEI
BEI HYO ATAKIW 1000 SAW ILA HAYO MAZINGRA YASIWE NA UHUSIANO WA 10% ZA ASKR YA MIGRATION
Nchi ina kundi kubwa la watu waliosoma lakini ni wajinga kupita maelezo na ndio maana nchi inaenda kwa mwendo wa kobe. Hongera Sana mtoa mada.1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili tafadhali.
2. Mheshimiwa Kamishina, gharama ya kutoa copy katika Stationeries zinazoangaliana na Jengo la Uhamiaji Kurasini (ambazo nimeambiwa kuwa nyingi kama siyo zote) ni za Watendaji wa Uhamiaji si tu ni kubwa bali ni za ukatili na kukomoana.
Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji, sehemu zote nchini Tanzania gharama ya kutoa copy ni Tsh 100/= kwa page na kuna sehemu zingine ni Tsh. 50/= ila katika Stationeries za hapo nje ya Ofisi za Uhamiaji Kurasini ni Tsh. 500/= kwa kurasa (page) moja, kwanini? Nani kawaambia wamiliki wa hizo stationeries kuwa kila anayekuja kupata huduma ya passport hapo ni tajiri?
Hivi wenye hizo stationeries wana hofu na Mwenyezi Mungu kweli? Tafadhali Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa pale Uhamiaji Kurasini hebu liangalie hili na ulizuie ili huduma ya kutoa copy iwe ni rafiki hata kwa sisi Masikini akina GENTAMYCINE.
3. Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa hapo Kurasini kuna huu uhuni na upuuzi unafanywa na hao Askari wa JKT na Polisi tena wakiwa wakavu kabisa.
Mheshimiwa Kamishina ukienda tu Ofisi za Uhamiaji Kurasini pale ukiwa na begi ambalo unalimudu kuingia nalo ndani (baada ya k`usachiwa) na kukaa nalo hao Askari wa hapo getini kwa makusudi wanakukataza usiingie nalo ndani bali ukaliweke nje katika maduka (stationeries) kadhaa wenye kujuana nao kisha ukihifadhi hapo unatozwa Tsh. 1,000/=. kisha Jioni ofisi zikifungwa wanakimbilia katika stationeries baadhi (walizokula nao dili) na kuchukua mgao wao wa pesa.
Niliyoyaandika yarekebishwe upesi.
Kwani akiingia na mizigo amevunja sheria gani ya nchi? Hiyo mizigo akiibeba mgongoni kwake inaathiri vipi utoaji wa huduma? Bila shaka wewe ni miongoni mwa wanaotaka barua ya kualikwa kutoka nje ya nchi ili kumpatia passport. Hoja za mtoa mada ziko nyeupe kabisa, fanyieni kazi.Unaingia na mizigo kwani umesikia ni stendi pale?
Asante kwa Kongole Mkuu kwa kuanzisha hii Mada. GENTAMYCINE popote nikienda au nikitembelea huwa sikubali nitoke bila kujua Changamoto ya hapo na kinachonisaidia hakuna anayejua kuwa huyu aliyeko humu ndani Ofisini au mbele yangu ndiyo GENTAMYCINE Mwenyewe.Nchi ina kundi kubwa la watu waliosoma lakini ni wajinga kupita maelezo na ndio maana nchi inaenda kwa mwendo wa kobe. Hongera Sana mtoa mada.
Mkuu kwa Akili Kubwa ulizonazo Kujibizana / Kumjibu huyo Juha IFAC ni matumizi mabaya ya Utajiri wako mkubwa wa Maarifa na Fikra.Kwani akiingia na mizigo amevunja sheria gani ya nchi? Hiyo mizigo akiibeba mgongoni kwake inaathiri vipi utoaji wa huduma? Bila shaka wewe ni miongoni mwa wanaotaka barua ya kualikwa kutoka nje ya nchi ili kumpatia passport. Hoja za mtoa mada ziko nyeupe kabisa, fanyieni kazi.
Huo uozo wa uhamiaji uadhani upo awamu ya 6 tu? Maujinga ya uhamiaji yako awamu zote.Ukweli ni kwamba usimwamini kiongozi awamu ya 6.