Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

Greenlabel tea..
 
Habari Wakuu!

Moja Kwa moja kwenye Uzi!
Ulipaswa umsamehe maana alikuomba msamaha! Usikubali kutumiwa na shetani! Uanamume rijali ni kuwa na uwezo wa kukataa na kushinda maovu! Uzinzi ni ishara ya wazi kabisa kwamba wewe ni dhaifu! Mwanaume wa nguvu hatekwi na wanawake kirahisi hivyo! Wanaume wa nguvu huona mwanamke mrembo na bado akasimama imara asianguke kwenye zinaa!

Sasa, kuwa mwanaume na ukamwombe msamaha! Pole.
 
Habari Wakuu!

Moja Kwa moja kwenye Uzi!

Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na Mke wangu, kana mchekea chekea,
Pole kwa ni uzinzi. pia nakupa pole kwamba mkeo alikonyezwa na alikuwa na mazoea na huyo jamaa lakini wewe unajipa imani kwamba mkeo ni mwaminifu. kwa mwanamke mwaminifu ile kujaribu kumkonyeza tu utaomba poo. endelea kujipa moyo manake ukiyajua mengi utaumia moyo bure. tufanye mkeo ni mwaminifu na hajawahi gongwa na huyo jamaa. over.
 
Duuuh!!

Kama unafikiri tupo Sawa ni kawaida ya watu wasiofikiri vizuri.

Ngoja nikuache na Imani yako.

Njoo unichapie ili nivumilie Ila Kwa akili za namna hii sidhani mama hata hao Malaya unaweza kuzama nyavun
Unaishi maisha ya zama za mawe,kutishia watu ushirikina,watu wamepita na mkeo,kilichobaki unakuja tu kubweka huku JF.
 
Boss kwa swaga hizi utakuwa unagongewa sana trust me. Nilifikiri mkeo alikwambia kwamba jamaa anamtongoza, kumbe wewe ndio ulifumania mkonyezo. Huwezi jua labda almkonyeza kumkumbusha asisahau ahadi ya kukutana tena loji kama kawaida yao.
Imagine nyakati alizokonyezwa na hakuwahi kumwambia uyu jamaa hadi jamaa alipokuja kujua mwenyewe na wakati mwingine yupo kwenye project huko dodoma. na wife wake alikuwa anafurahia tu kukonyezwa. hawa ndio watu wanaotakiwa kuishi wakiamini na kuaminishwa kwa nguvu zote kwamba wake zao waaminifu kwasababu siku wakija kufumania huwa wanajitundika au wanakunywa sumu. bora wakae wakiamini hivyohivyo. ila anaonekana ni mchanga na mahusiano na hajawajua wanawake vizuri.
 
Tushamuelewa mwambaa...tena pnd kasafir kwenda Dodoma ndo baharia kamlala mkewe..sasa hapa amekuja kupooza machungu kwa kusema kuwa na yy kafanya comeback la kibabe..ndoa hiz zinamambo mengi sanaa
 
Hapa nakuunga mkonyo mkuu
 
Boss kwa swaga hizi utakuwa unagongewa sana trust me. Nilifikiri mkeo alikwambia kwamba jamaa anamtongoza, kumbe wewe ndio ulifumania mkonyezo. Huwezi jua labda almkonyeza kumkumbusha asisahau ahadi ya kukutana tena loji kama kawaida yao.
Yaan una mawazo km yangu huyu mke wake washapiga ndomaana pamoja na kukonyezwa au kuoneshwa dalili ya kutakwa hakuwahi sema kwa jamaa. Ukiwa na bint mdogo nyumban kila akienda shule anasumbuliwa na vivulana anakuja kushitaki nyumban kadri siku zinavyoenda na binti kukua kiumri basi hayo mashitaka hutayasikia tena ikifika hapo mzazi unajiongeza kuwa binti kakua
 
Debe tupu Haliachi Kutika

.
Huyo anaongea Kwa hisia tuu,

Bikra ukichapiwa ujue unashida tena kubwa Sana.
Debe Tupu HaliachinKutika, Mkuu!
 
Aisee wewe ni muongo wa hatari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mubali usimubali mkeo analiwa kabsaaa. Usijipe moyo et kukata utepe ndo atatulia. Huenda ndo ulifungulia mbwa wafanye yao. Jaribu kufuatilia kimya kimya, utakuja kufuta huu uzi
 
Ulivunja ndoa ya watu mkuu.
 
Mbwembwe kibao; ma legendary hatunaga muda wa kusimulia vitu vidogo vidogo kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…