Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Hujui wanawake tulia😀😀😀Huyo anaongea Kwa hisia tuu,
Bikra ukichapiwa ujue unashida tena kubwa Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui wanawake tulia😀😀😀Huyo anaongea Kwa hisia tuu,
Bikra ukichapiwa ujue unashida tena kubwa Sana.
Duu mzee wa bikira leo umeparamia single mama wa mtu ! Dunia hii mbona speed sana!
Safi
Hujui wanawake tulia😀😀😀
Mkeo analiwa bila wewe kujua. Kama alimkonyeza ujue wameshakulana we usidhani mkeo hagongwi anagongwa sana tu.Habari Wakuu!
Moja Kwa moja kwenye Uzi!
Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na Mke wangu, kana mchekea chekea,
Ok endelea kuamini mawazo yako ila ukweli mchungu ni kwamba mkeo ni mchepuko wa huyo mkonyezajiWanawake wapi nisiowajua Mkuu.
Nimeoa 2013
Huu mwaka wa 8.
Ninawatoto watano, watatu ni wanje,
Wanawake wapi nisiowajua, labda wa sayari nyingine lakini Kama ni ninyi 😃😃
Ndio maana nikawashauri Vijana wachukue Wanawake Bikra tuu kuliko mitumba kwani nawafahamu vizuri wanawake WA sayari hii.
Mkeo analiwa bila wewe kujua. Kama alimkonyeza ujue wameshakulana we usidhani mkeo hagongwi anagongwa sana tu.
Nipo labla tunapishana majukwaa
Hapo sawa maana kitambo sijakuonaga vp mzima lakini mishe zinaendaje?Nipo labla tunapishana majukwaa
sawa chief mangungoUkiona mtu anajiamini Sana unatakiwa ushtuke anajiamini nini.
Shtuka utaibiwa hii ni dunia
Safi nipo ninapambana mkuuHapo sawa maana kitambo sijakuonaga vp mzima lakini mishe zinaendaje?
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Sawa sawa uwe na siku njemaa na mapambano mema[emoji109][emoji109]Safi nipo ninapambana mkuu
Boss kwa swaga hizi utakuwa unagongewa sana trust me. Nilifikiri mkeo alikwambia kwamba jamaa anamtongoza, kumbe wewe ndio ulifumania mkonyezo. Huwezi jua labda almkonyeza kumkumbusha asisahau ahadi ya kukutana tena loji kama kawaida yao.