Kamwaga umenikera sana leo kuwapa Yanga credit za kijinga

Mkataba wa Vunja bei na Simba inamaana hauna vigezo na masharti? Akitengeneza jezi zisizo na ubora ni juu yake. Zikiwa feki ni juu yake ilimradi tu Simba wanapokea bilioni 2?
 
Hii ina maana ya kwamba Jezi fake za simba zikiwa nyingi mtaani, haijalishi simba kachukua Bilion 2,ila inapunguza reputation ya Club katika jezi hasa katika kipindi cha Club transformation.
 
Hii ina maana ya kwamba Jezi fake za simba zikiwa nyingi mtaani, haijalishi simba kachukua Bilion 2,ila inapunguza reputation ya Club katika jezi hasa katika kipindi cha Club transformation.

Kwanza hakuna jezi fake mpaka sasa,hiyo picha mnasambaza ya kusagula ni jezi za misimu iliyopita.Jezi za mpya zinauzwa kama karanga vizuri sana tena Tanzania nzima,siyo Sanderland peke yake kama za Yanga!
 
Daaah Sema jezi ya simba huku kwetu Mbagala uswahilini kuna wale Waha kutoka Kigoma wanakopesha kwa 15,000/= ili kila siku anakuja kuchukua 1000/=
 
Nilivyosikia eti bei ya jezi ya Simba ni elfu 15 tu hapa Dodoma,nimeahirisha kwenda kununua.

Ni bora ziwe chache kali hata tununue 50,000 kuliko hizi feki.
Hivi kwa nini huwa hamfikirii kulinda brand ya timu badala yake mnauza maruperupe ambayo siku 2 tu inafanya jezi zote zionekane za hoovyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…