Kamwe huwezi kumridhisha Mwanamke

Kamwe huwezi kumridhisha Mwanamke

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Wanaume naamini mmeamka salama.

Neno moja nataka kuwaambia asubuhi hii,

Nimegundua Mwanaume huwezi kumridhisha Mwanamke kamwe.

Utapambana utamtafutia pesa utampa.

Utafanya nae mapennzi kwa jitihada zote, utamfikisha kileleni utamkojoza.

Utamfanyia kila anachotakiwa kufanyiwa mwanamke.

Lakini kamwe hatoridhika.

Mwanaume pambana tafuta pesa, mwanamke hata kama ni mke wako usimpe kipaumbele sana.

Akikupa piga unavyoweza kojoa lala. Usikeshe kusoma nyuzi za namna ya kumfikisha mwanamke. Unajichosha kwa ajili ya kiumbe asiyerizika.
 
Wanaume naamini mmeamka salama.

Neno moja nataka kuwaambia asubuhi hii,
Nimegundua Mwanaume huwezi kumridhisha Mwanamke kamwe.

Utapambana utamtafutia pesa utampa.
Utafanya nae mapennzi kwa jitihada zote, utamfikisha kileleni utamkojoza.
Utamfanyia kila anachotakiwa kufanyiwa mwanamke.
Lakini kamwe hatoridhika.

Mwanaume pambana tafuta pesa, mwanamke hata kama ni mke wako usimpe kipaumbele sana. Akikupa mbususu piga unavyoweza kojoa lala. Usikeshe kusoma nyuzi za namna ya kumfikisha mwanamke. Unajichosha kwa ajili ya kiumbe asiyerizika.

Maumivu teyari Kwan si ndo kawaida YETU binadamu huwa hatushibi

Kila panapokucha tunamahitaji tofauti na kila siku iendayo kwa Mungu.
 
kumkojoza ndo kumridhisha kwenyewe labda ungesema ana tabia za tamaa na uchangu ndo huwezi mbadili hata ukimridhisha atatoka tu bt hii ipo jinsia zote.
 
Back
Top Bottom