Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana


Sijaona cha maana ulichokiandika hapa zaidi tu ya Takataka na Uharo mtupu huku ukiendeleza zile zile Sifa zako za kujuana na VIP's wa Tanzania.
 
Ukisikia "tamathali za usemi" basi ujue ndio hizi.
 

Nani Kakudanganya kuwa Rais Dkt. JPM huwa anapoteza muda wake Kuteua au Kuwatea Watu wenye Walakini kama Caster Semenya Ndugu?
 
Mkuu Affinitytz, this is very good objective analysis, uchambuzi kama huu ni rarely sana siku hizi humu jf, vilaza wametamalaki

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Mkuu Paskali,
Tuna changamoto sana ya kila mtu kuandika bila kuangalia historia ya siasa na bila kuwafahamu vyema aina ya watu unaowaandika.
Nikiri kwamba nimejifunza mengi kutoka kwenye analysis zako hapa Jf.
Shukrani
 
Mkuu Paskali,
Tuna changamoto sana ya kila mtu kuandika bila kuangalia historia ya siasa na bila kuwafahamu vyema aina ya watu unaowaandika.
Nikiri kwamba nimejifunza mengi kutoka kwenye analysis zako hapa Jf.
Shukrani

Utakuja na ID's mpya na tofauti tofauti za Kujisifu Kwako hivi hadi Uchoke. au unadhani hujulikani kwa Kupenda Sifa mno na kuwa na Multiple ID's?
 
Umeandika sana ila ukweli ni kuwa:-

1. Wewe ni mgeni sana kwenye siasa za Tanzania

2. Chukua muda fuatilia historia walau ya hao uliowataja kwenye uzi wako. Kama hujui historia ni ngumu kuja na analysis yenye tija.

3. Ukianzisha hoja hapa ruhusu wengine pia wajadili. Acha vita binafsi dhidi ya Pascal Mayalla.
 
Kwa nn umeamua kuandika haya?
Au kwa kuwa vijana hawa wamechachamaa leo?
P hukuwahi kufikiri utakuja kuishi kwa lobbying ya kisiasa isipokuwa media
Hakika miaka hii 5 imebadili mfumo wako wa maisha na sasa umeamua kubadilika, naona sasa umekumbuka hadi maisha ya wazazi wako na sifa zao hakika unataka kubadilika !
Unapokwenda kubadilika tafadhali kumbuka misimamo yako ya huku nyuma na daima usiwe sehemu ya mbwa koko
 
Hizi ni speculation wapendwa hazina uhakika na uhalali kisiasa hivyo kuendelea kudhalilishana hapa kwa mb zetu wenyewe ni ulofa wetu wa kiwango cha uprofesa
Cyber space isitudanganye kuwa si lazima kuheshimu sheria ya maumbile hapana! Tumlete karibu roho mtakatifu wa meditation fupi ya hewa kisha tumuone Mungu kwenye maandishi ya watu na kumpinga shetani kwa ustaarabu makinika
 
Bavicha bwana....
Pambanieni kwanza kiki yenu iliyobuma ya kumvunja mguu sultani
 
Pascal punguza ujuaji, heshimu michango na mawazo ya wengine hata kama umepishana nao kimtazamo. Kumuita kilaza mtu usiyemfahamu ni sawa nakujiita kilaza wewe mwenyewe.
 

Gra


What causes Grandiocity thinking?
 

Naona Leo hii ID zako zote utazifungulia moja baada ya nyingine ili mradi tu uonekane kuwa unakubalika wakati kumbe ni Pimbi na Boya mkubwa.
 

Kama Kukiandaliwa Upigaji Kura wa Mwandishi wa Habari Mnafiki kabisa Tanzania nzima na anayewachoma Wenzake Mamlakani atashinda Yeye.
 
Pascal punguza ujuaji, heshimu michango na mawazo ya wengine hata kama umepishana nao kimtazamo. Kumuita kilaza mtu usiyemfahamu ni sawa nakujiita kilaza wewe mwenyewe.

Na unaweza kukuta hata wengine tukisema tuonyeshane Matokeo yetu ya Kitaalama tokea Msingi hadi Chuo Kikuu Yeye ndiyo akawa Kilaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…