Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
- Thread starter
- #141
Duh...!, simtaji Polepole ili mnione namjua, namjua Polepole since when he was nothing hadi sasa he is something!. Primary nimesoma na mtoto wa Nyerere, Msasani tumecheza sana!. Tambaza darasa moja na mtoto wa Ben, na kuwa nae US, Ben akija New York, tunashinda nae pale Intercontinental ya Crowe Plaza!. UDSM nimesoma na Riz1 na ni close friend mpaka kesho!. JPM ni homeboy wangu, kila nikienda pande zile nafikia kwake and there was an incident ilimbidi Janet kuingia jikoni in person kuandaa menu fulani!.
Hivyo nawajua wote in person!.
Pia kwa mimi being in the media unajua what does that mean, kama ni lobbying uteuzi, ningeisha lobby kitambo!.
Kwa vile humu vilaza ni wengi, wanaodhani Pasco Mayalla ana lobby uteuzi, acha wadhanie, faraja yangu ni ma GT wa JF who can read me in between the lines!, vilaza wengi kwenye mabandiko yangu, wanaishia chaka!.
Pole.
P
Sijaona cha maana ulichokiandika hapa zaidi tu ya Takataka na Uharo mtupu huku ukiendeleza zile zile Sifa zako za kujuana na VIP's wa Tanzania.