Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Gentamycine acha kujisumbua
 
Eti eeh . . . halafu kijiweni kwetu mtu mmoja alituuliza hivi dogo Hussein yuko wapi? Hakuna aliyempa jibu sahihi. Juzi tunawaona jamaa wanasema mabo yameanza kuiva. Ngoja walaji tusubiri mlo mezani. Nadhani surprise zipo maana wengine tumezoea ugali halafu mpishi anatuletea tambi
 
Na kweki huyu husein kajijenga sana kwanza huko kwenge vyombo vya ulinzi kaweka sana nduguze maana kipindi niko jkt nakunbuka kuna mag ililetwa mzanzibar yeyote alieko huko aende tpdf bila kupingwa na gari lilikuja likawabeba wote kuvumbi kiliyimka baada ya mmoja kuandikwa jina (maana alikuwa likizo)kipindi wenzao wanaodhoreshwa majina kwa kweli alipiga simu kwao kwa mda mfupi vari la C.O wa kikosi lilikuja kumchukua na likampeleka hadi kituoni na nauli kapewa na mp kabisa kasindikiza hapo ndio niliamini hii amri ilitoka juu.
 
Ikishindikana sanaa balali atachukua kimasihara
 
Mkuu kwa kweli Kuna Muda Najisikia Amani sana kuongozwa na Mtu mwenye maamuzi bila kuangalia nani anasemaje hao kina kenyata, Kagame wamekuwa overtaken na External forces hawangalii realistic wao wanataka wawe Praise na external communities bila kuangalia realistic ya mataifa yao sasa wana ua tu Raia, Joni ni bold na huu msala wa corona tungekuwa na kina Lowasa sijui ata ingekuwaje
 
Wakati Wewe ukisema Hussein kawajaza Wazenji Ujedani, basi kuna CDF Mmoja ( Namhifadhi ) kajaza hadi Wajukuu, Vitukuu na Vilembwe wake.
 
Wazanziba kuongozwa na mwanamke never

Na CCM wakitaka Wapinzani ( Upinzani ) uchukue Dola ya Zanzibar wajitusu tu wamuweke Mgombea Mwanamke ndipo Watawajua Wazanzibari.
 
Kwasababu yeye alisukumizws naye anasukumizs mtu ambaye hawamkubali huko.
 
Wakati Wewe ukisema Hussein kawajaza Wazenji Ujedani, basi kuna CDF Mmoja ( Namhifadhi ) kajaza hadi Wajukuu, Vitukuu na Vilembwe wake.
Lakini hata kama nini fursa lazima niitumie[emoji2]
 
Lakini hata kama nini fursa lazima niitumie[emoji2]

Idara Nyeti za TISS na hata ile ya CMI ilifanya Kosa moja Kubwa mno la Kuruhusu baadhi ya hawa CDF's wajaze Ndugu zao Lukuki huko Ujedani.
 
Idara Nyeti za TISS na hata ile ya CMI ilifanya Kosa moja Kubwa mno la Kuruhusu baadhi ya hawa CDF's wajaze Ndugu zao Lukuki huko Ujedani.
Tatizo ni maagazo kutoka juu mi kwa macho yangu nimeona watu hawana hata vyeti unaitwa jina unaenda meza kuu unapewa ki memo chenye saini ya mkaguzi eti inaend kupimwa afya usaili ushapita tayari.
 
Tatizo ni maagazo kutoka juu mi kwa macho yangu nimeona watu hawana hata vyeti unaitwa jina unaenda meza kuu unapewa ki memo chenye saini ya mkaguzi eti inaend kupimwa afya usaili ushapita tayari.

Cheza na sehemu zote ila ukishaanza kulifanya Jeshi kuwa Mali ya Ukoo / Kabila fulani kuna Siku yale ya Rwanda na Burundi yatatokea Tanzania.
 
Na CCM wakitaka Wapinzani ( Upinzani ) uchukue Dola ya Zanzibar wajitusu tu wamuweke Mgombea Mwanamke ndipo Watawajua Wazanzibari.
CCM wakimuweka Mama Samia, watakuwa na chansi kubw zaidiya kushinda kwenye sanduku la kura.
kwa kuwa huyu mama Ni mzalendo kidogo na Huenda akakubali vipaumbele vya wazanzibari.
Hata hivyo kura za kina mama atazikwaa ambazo ndio nyingi kuliko wanaume.

Mimi naomba wasimmpe ili CCm ipate kipigo cha mbwa KOKO kama kawaida yao, hlafu mwaka huu wafute tena uchaguzi mchna kweupe bila ya sababu za msingi,waone joto ya jiwe.
 
Cheza na sehemu zote ila ukishaanza kulifanya Jeshi kuwa Mali ya Ukoo / Kabila fulani kuna Siku yale ya Rwanda na Burundi yatatokea Tanzania.
Inategemea na nguvu iliopo kwa wakati huo maana sio wote wanaweza panga kwa pamona maana hawako pamoja labda itokee ukabila ndani ya chombo humo humo ndio inaweza kuwa shida
 
Baada ya Kuona unazidiwa Hoja na wenye Akili kukuzidi JF wameanza Kukushambulia na Kukudharau sasa ndiyo unazuga Kujifanya Mwema?
No sizugi kujifanya mwema, bali kiukweli Pasco Mayalla ni mtu mwema kabisa wa ukweli, hata siku ukisikia Mungu amenipenda zaidi, ujue nimeenda straight to heaven!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…