Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
- Thread starter
- #161
Mimi mwenyewe ni kilaza pia, tena ni kilaza sana tuu, ila pia siungi mkono ujivuni wa kujivunia elimu au usomi. Ndio maana huko nyuma nimewahi kutoa wito huu
Wito kwa Baba Jesca: Watendee Haki Kina Jesca Wote Ili Nao Wapate Bahati Kama Jesca!.
P
Baada ya Kuona unazidiwa Hoja na wenye Akili kukuzidi JF wameanza Kukushambulia na Kukudharau sasa ndiyo unazuga Kujifanya Mwema?