New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Hayana ladhaHi mipapai ya rangi kama nyekundu ndani sipati radha kama ile ya papai za njano ya zamani au ni mdomo wangu umechoka na spirit?
Upuuzi mtupu
Ukubwa wa bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayana ladhaHi mipapai ya rangi kama nyekundu ndani sipati radha kama ile ya papai za njano ya zamani au ni mdomo wangu umechoka na spirit?
Mnazi asilia ni miaka 10 kweli kuanza kuzaa, ila embe dodo asilia ni miaka5, labda kuwe na shida kwenye udongo.Tatizo ni muda mkuu ndio unafanya watu wakimbilie kupanda ya kisasa
Mnazi wa kienyeji unachukua miaka kuanzia 10 kuzaa wakati wa kisasa miaka miwili tu
Embe dodo asili ukipanda leo wataanza kuvuna wajukuu zako
Mkuu hakuna tafiti za kisayansi zinazothibitisha kwamba ulaji wa nyama au mazao yaliokuwa hybridization ni hatari kwa afyaIf nature didn't make it don't take it. Ngano tunayokula imefanyiwa manjonjo miaka 1950 mkulima anapata 10 times ya mavuno ya Ile ngano asili. Na unaambiwa inapandisha blood sugar more than sugar itself.
So inafanya kazi mno ya ku release insulin ikarudishe blood sugar normal.
Nanasi, karoti, swaumu kitunguu, zimefanyiwa hybridization.
Icho kilimo ni Cha biashara na sio Cha kiafya.
Utajua why watu wanaogua mno nowdays about Figo and sukari ni kutokana na vyakula ambavyo mbegu yake sio Ile ya asili. Mahindi zamani tulikula ugali bila mboga saivi pamoja na mboga ni tizi bado
Matunda ya asili ni ya polini,haya mengine yote yameletwa,Ni kweli kabisa matunda asilia yana ladha yake na virutubisho vyake. Hili halipingiki hata kidogo.
Ila changamoto iliyopo kwa sasa ni ongezeko la watu na uhitaji wa matunda. Huwezi kusema usubilie embe la kienyeji msimu hadi msimu, wakati kuna biashara zinahitaji embe kila siku. Mfano parachichi linahitajika kila siku kwenye mlo haya viwandani.
Zamani tulikuwa wachache ila sasa tupo wengi na maarifa yameongezeka kikubwa tu ni kuangalia mbegu zipi na madawa yapi yatumike ili kuondoa magojwa ya hapo baadae.
Umeenda shule?:Ngano ipi ya asili? Karoti za silini zipi hizo? Utasikia mtu anakuambia mahindi ya asili, asili ipi? mahindi yaliletwa kutoka Mexco ba Wamisionaries na wakoloni,hakuna mahindi ya asiliAfrica. Matunda ya asili ni ya mwituni ambayo oia ni mazuri sana tofauti na matunda ya mwituni mengine yote ni ya kigeni.If nature didn't make it don't take it. Ngano tunayokula imefanyiwa manjonjo miaka 1950 mkulima anapata 10 times ya mavuno ya Ile ngano asili. Na unaambiwa inapandisha blood sugar more than sugar itself.
So inafanya kazi mno ya ku release insulin ikarudishe blood sugar normal.
Nanasi, karoti, swaumu kitunguu, zimefanyiwa hybridization.
Icho kilimo ni Cha biashara na sio Cha kiafya.
Utajua why watu wanaogua mno nowdays about Figo and sukari ni kutokana na vyakula ambavyo mbegu yake sio Ile ya asili. Mahindi zamani tulikula ugali bila mboga saivi pamoja na mboga ni tizi bado
Mkuu hapa neno asili linamaana ukichukua mbegu ya mtunda wa asilili kijijini kwenu ukaenda kuupanda USA bila kuufanyia chochote basi utakua ni asili huko huko USAUmeenda shule?:Ngano ipi ya asili? Karoti za silini zipi hizo? Utasikia mtu anakuambia mahindi ya asili, asili ipi? mahindi yaliletwa kutoka Mexco ba Wamisionaries na wakoloni,hakuna mahindi ya asiliAfrica. Matunda ya asili ni ya mwituni ambayo oia ni mazuri sana tofauti na matunda ya mwituni mengine yote ni ya kigeni.
ta mahindi mnayo sema ya asili still bado nihighbrid ambayo ni ya kitambo sanaMkuu hapa neno asili linamaana ukichukua mbegu ya mtunda wa asilili kijijini kwenu ukaenda kuupanda USA bila kuufanyia chochote basi utakua ni asili huko huko USA
Hapa inazungumziwa hybridization
Mkuu hybridization sio kitu cha ajabu sana wala sio binadamu aliyekigunduaHA
ta mahindi mnayo sema ya asili still bado nihighbrid ambayo ni ya kitambo sana
Haipingiki
Hahahaaa.... Sasa haya mahindi ya sasahivi yanabunguliwa yakiwa shambini bado aseee.Dunia inakwenda mrama, mabo ni shaghala bagala, kila kitu ni mwendo w kisasa, hatimae maradhi ya hovyo hovyo yanazidi.
Eti leo unapanda mahindi, kisha mahindi hayo mwakani huwezi kutumia kama mbegu, ukipandatena huambulii kitu, sasa unajiuliza wametia nini.
Zamani ilikuwa ni mayai yasiyokuwa na baba, na mikuku isiyo na baba, lakini sasa hivi vitu vingi ni vya kuchakachulia, unywe maziwa ya ng'ombe wa kisasa, sijui nazi ya mnazi wa kisasa, mnazi miaka mi3 mi4 unaanza kuzaa😂,
Hii ni moja ya hasara za teknolojia
Yapi? una maanisha haya ya situka seedco ZEDCO?HA
ta mahindi mnayo sema ya asili still bado nihighbrid ambayo ni ya kitambo sana
Imagine!! ndio maana sasa hivi mtoto wa miaka7-9 ana matitiKama hiii?😂
Sahihi kabisaHayana ladha
Upuuzi mtupu
Ukubwa wa bure
Hizo za zamani nazo si zililtea na wakoloni? WamisionariesMaembe, maparachichi, mapera na matunda mengine hayana utamu kama ya zamani. Embe za sasa hazina utamu na harufu nzuri kama za zamani.
embe la asili ni lipi? hakuna embe la asili hizi shule mnaendaga kusomea ujinga?Leo nimekula Embe langu dodo la Asili aiseee tuendelee kutunza vya asili ni tamu na lina ya hatari😋